Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Ni ngumu sana.Hesabu 😅
Nilikosea ila halikuwa kusudio langu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ngumu sana.Hesabu 😅
Kama wananchi wenyewe hawajijali nani awajali zaidi? Uchaguzi umeporwa kwa mtutu na watu kuuawa lakini bado kuna makundi ya watu wamejitokeza na kusifia kuwa ulikuwa mzuri. Raia hao hao ndiyo walikuwa mbele kwenye kusaidia hujuma. Acha nchi ivune ilichopanda.Kazi ya k
KAZI ya kiongozi aliyeko madarakani ni kulinda raia wake.
Bibi amefeli kabisa
Ni sahihi, nimeona hata taarifa ya Msemaji wa Jeshi la Polisi nao kutojua nani hasa aliyemchukua huyo Abdul Nondo.Ndio maana watu wanasema katekwa...
Lakini haya yote lawama ni kwa jeshi la Polisi, haya mautaratibu ya kunyakua watu wameyavumisha wao wenyewe...
Amechukuliwa na police au watu wasiojulikana???
Mwanasiasa Abdull Nondo wa Chama Cha ACT Wazalendo amechukuliwa asubuhi ya Leo na wati waliomvamia akiwa kituo Cha basi Mbezi.
Katika purukushani hiyo wahusika walidondosha pingu na sasa hatma yake haijulikani mpaka wakati huu
====
UPDATE
JamiiForums imewasiliana na Naibu Katibu wa Habari na Uenezi wa ACT Wazalendo Shangwe Ayo ambapo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, akieleza Nondo alikuwa ametokea Kigoma baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa kumalizika, ambapo wakati anashuka kwenye basi Stendi ya Magufuli watu wasiyojulikana watatu walimfuata kukawa na purukushani Nondo akijitahidi kujinasua lakini walifanikiwa kumchukua na kuangusha pingu walizokuwa wameenda nazo pamoja na begi alilokuwanalo Nondo
Matukio mengine ya utekaji kuwahi kufanyika nchini haya hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Shangwe ameeleza pia gari lililomteka Nondo ni Land Cruiser nyeupe yenye namba za usajili T 249 EMV. Taarifa za awali walizitoa kwa mashuhuda ambao walikuwa wanamfagamu Nondo, baada ya kufungua begi lake kulikuwa na note book ambayo nayo ilithibisha kumilikiwa na Abdul Nondo
Pia shuhuda aliyekuwa eneo la tukio amesema gari hilo lililokuja kumteka Abdul Nondo lilikuwa na watu 4, wawili wakiwa na bunduki na wawili wakiwa mikono mitupu, watu walipoenda kuangalia kuna nini na kujaribu kuhoji waliwanyooshea bastola na hivyo watu kubaki wanaangalia tukio hilo likitokea na Abdul Nondo akawa ametekwa! Katika purukushani hizo kwa maelezo ya shuhuda mbali na pingu na bengi la Nondo, ilianguka pia inadaiwa simu ya moja ya watekaji ambavyo vyote vilikabidhiwa kwa Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Magufuli.
Kijana hana influence yoyote mpk wamteke,hizi ni drama ili kuhalalisha uovu wao,na pia inawezekana lengo ni kumrudisha zito kwenye midomo ya watu coz mpk sasa kashasahaulika.Hizi ni Drama tu hamna lolote hapo. Abdul Nondo naye ni wa kutekwa? Acheni Drama.
Vielelezo bila ulinzi ? pia ilatakiwa vielelezo abebeshwe mtu asiyejulikana lakini anajulikane na Abdul NondoDaah yaani vielelezo vimechukuliwa na kupelekwa polisi🤔🤔
Watu ambao hawajitambulishi wanaweza kukupeleka kusiko julikana piaAmechukuliwa na police au watu wasiojulikana???
Kuna watu hawajulikani dunia hii??
Hawajulikani hawana ndugu???
Hawajulikani hawajazaliwa na mama???
Nani anawalipa mishahara ilihali hawajulikani????
Mmmm! Haya Bhana Wajinga Ndio Wataendelea Kuumiza Kichwa Ngoja Kijana Atengeneze Umaarufu Ila Ni Mtu Wao
Mwanasiasa Abdull Nondo wa Chama Cha ACT Wazalendo amechukuliwa asubuhi ya Leo na wati waliomvamia akiwa kituo Cha basi Mbezi.
Katika purukushani hiyo wahusika walidondosha pingu na sasa hatma yake haijulikani mpaka wakati huu
====
UPDATE
JamiiForums imewasiliana na Naibu Katibu wa Habari na Uenezi wa ACT Wazalendo Shangwe Ayo ambapo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, akieleza Nondo alikuwa ametokea Kigoma baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa kumalizika, ambapo wakati anashuka kwenye basi Stendi ya Magufuli watu wasiyojulikana watatu walimfuata kukawa na purukushani Nondo akijitahidi kujinasua lakini walifanikiwa kumchukua na kuangusha pingu walizokuwa wameenda nazo pamoja na begi alilokuwanalo Nondo
Matukio mengine ya utekaji kuwahi kufanyika nchini haya hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Shangwe ameeleza pia gari lililomteka Nondo ni Land Cruiser nyeupe yenye namba za usajili T 249 EMV. Taarifa za awali walizitoa kwa mashuhuda ambao walikuwa wanamfagamu Nondo, baada ya kufungua begi lake kulikuwa na note book ambayo nayo ilithibisha kumilikiwa na Abdul Nondo
Pia shuhuda aliyekuwa eneo la tukio amesema gari hilo lililokuja kumteka Abdul Nondo lilikuwa na watu 4, wawili wakiwa na bunduki na wawili wakiwa mikono mitupu, watu walipoenda kuangalia kuna nini na kujaribu kuhoji waliwanyooshea bastola na hivyo watu kubaki wanaangalia tukio hilo likitokea na Abdul Nondo akawa ametekwa! Katika purukushani hizo kwa maelezo ya shuhuda mbali na pingu na bengi la Nondo, ilianguka pia inadaiwa simu ya moja ya watekaji ambavyo vyote vilikabidhiwa kwa Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Magufuli.
Nchi Ipo out pilotVijichokochoko vimeanza
Kama ni hivyo usemavyo basi nchi yetu tupo kwenye tatizo kubwa. Kwamba pembele ya polisi watu wasiojulikana wanawasaka tu wenye maoni pinzani na kuwapeleka kusikojulikana ambako wanateswa na kudhulumiwa uhai.Watu ambao hawajitambulishi wanaweza kukupeleka kusiko julikana pia
In this world only the strong survive --- Steve WonderSimba mmoja anavamia kundi kuuuuubwa la nyumbu takribani nyumbu 600 anajichagulia mmoja wengine 559 wanasimama pembeni na kushuhudia mwenzao akitafunwa.
Hivi watanzania kwa umoja wetu tumeshindwaje kuunganisha nguvu zetu kuyaondoa haya majambazi madarakani?
Mwanasiasa Abdull Nondo wa Chama Cha ACT Wazalendo amechukuliwa asubuhi ya Leo na wati waliomvamia akiwa kituo Cha basi Mbezi.
Katika purukushani hiyo wahusika walidondosha pingu na sasa hatma yake haijulikani mpaka wakati huu
====
UPDATE
JamiiForums imewasiliana na Naibu Katibu wa Habari na Uenezi wa ACT Wazalendo Shangwe Ayo ambapo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, akieleza Nondo alikuwa ametokea Kigoma baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa kumalizika, ambapo wakati anashuka kwenye basi Stendi ya Magufuli watu wasiyojulikana watatu walimfuata kukawa na purukushani Nondo akijitahidi kujinasua lakini walifanikiwa kumchukua na kuangusha pingu walizokuwa wameenda nazo pamoja na begi alilokuwanalo Nondo
Matukio mengine ya utekaji kuwahi kufanyika nchini haya hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Shangwe ameeleza pia gari lililomteka Nondo ni Land Cruiser nyeupe yenye namba za usajili T 249 EMV. Taarifa za awali walizitoa kwa mashuhuda ambao walikuwa wanamfagamu Nondo, baada ya kufungua begi lake kulikuwa na note book ambayo nayo ilithibisha kumilikiwa na Abdul Nondo
Pia shuhuda aliyekuwa eneo la tukio amesema gari hilo lililokuja kumteka Abdul Nondo lilikuwa na watu 4, wawili wakiwa na bunduki na wawili wakiwa mikono mitupu, watu walipoenda kuangalia kuna nini na kujaribu kuhoji waliwanyooshea bastola na hivyo watu kubaki wanaangalia tukio hilo likitokea na Abdul Nondo akawa ametekwa! Katika purukushani hizo kwa maelezo ya shuhuda mbali na pingu na bengi la Nondo, ilianguka pia inadaiwa simu ya moja ya watekaji ambavyo vyote vilikabidhiwa kwa Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Magufuli.
Hii nchi imeoza...
Watu wasiojulikana ni taasisiKama ni hivyo usemavyo basi nchi yetu tupo kwenye tatizo kubwa. Kwamba pembele ya polisi watu wasiojulikana wanawasaka tu wenye maoni pinzani na kuwapeleka kusikojulikana ambako wanateswa na kudhulumiwa uhai.
Kwamba mbele ya polisi watu wanakimbizwa na kumiminiwa risasi za moto na kuawa!
Sikiliza! Huo ujasiri hata waasi wa Congo DRC hawana!
Fikirisha akili yako