Dar: Ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua mkewe

kuna aliyeua kwa bahati mbaya akahukumiwa kunyongwa hadi kufa?
Ndio ujue huyo hakimu ni taahira. Unapokwaruzana na mtu, kisha katika ugomvi huo mmoja wenu akapoteza maisha, inaitwa ‘manslaughter’, (kuua bila kukusudia). Otherwise idhibitishwe kwamba ulipanga (premeditation), na ionyeshwe sababu iliyokusukuma kupanga mauaji (motive).

1.) Ukitaka kuua, unamchoma kisu begani au utamchoma kifuani na tumboni?

2.) Ukipanga kufanya mauaji, utatekeleza mpango mbele ya watoto au kwa siri?
 
Haya kamwambie akate rufaa.
 
Hamna lolote nyie. We subiri uone wenzio watakavyomponda hapa lakini siku ya tukio walimpa kongole.
Sasa yeye aliyebaki duniani na mke wake marehemu nani kapumzika kwa amani?
Kwa vyovyote vile hakuna sifa ambayo yyt anaweza kumfisia muuaji!
 
Tanzania hanyongwi mtu.

Mahakama inatulisha uongo uongo na mizaha mizaha tu. Media nayo inatulisha habari za kisheria za uongo uongo tupu...

Ndio maana tunabaki na wanasheria wabovu, katiba butu, press ya vilaza watupu, na mahakama ambazo hakuna anaezichukulia seriously.

Eti ili iwe fundisho kwa wengine. Mara ya mwisho lini na nani alinyongwa na ikatangazwa wapi ili iwe fundisho kwa wengine ???? We just dont mean what we say and write in these crummy rulings.
 
Ndio ujue huyo hakimu ni taahira. Unapokwaruzana na mtu, kisha katika ugomvi huo mmoja wenu akapoteza maisha, inaitwa ‘manslaughter’, (kuua bila kukusudia). Otherwise idhibitishwe kwamba ulipanga (premeditation), na ionyeshwe sababu iliyokusukuma kupanga mauaji (motive).

1.) Ukitaka kuua, unamchoma kisu begani au utamchoma kifuani na tumboni?

2.) Ukipanga kufanya mauaji, utatekeleza mpango mbele ya watoto au kwa siri?
Taahira ni wewe yaani mtu amuite Sehemu huku amebeba kisu kwa kujiandaa
kabisa na mauaji halafu iwe manslaughter
 
Hiyo ya kumuita sehemu sijui ipo kwenye uzi upi, lakini hata hivyo. Ukigombana na mtu na katika rapsha rapsha ukachukuanjiwe ukampiga nalo na akapoteza maisha, hiyo ni ‘manslaughter’. Kwa sababu hakuna ‘premeditation’.

1.) Ukitaka kuua, utachoma begani au kifuani?

2.) Ukipanga kuua, utaua mbele za watoto wake au kwa siri?
 
Haya mambo kama mwanaume hupaswi kumcheka mwanaume mwenzio... hawa viumbe wanakwaza sana kama huna moyo wa kusamhehe na kumove on aisee unafanya mambp magumu. Katumikie adhabu kamanda huwezi jua nani kesho atakufataa.
Na ww mla kimasihara unakwazika?
 
Back
Top Bottom