FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Ndio ujue huyo hakimu ni taahira. Unapokwaruzana na mtu, kisha katika ugomvi huo mmoja wenu akapoteza maisha, inaitwa ‘manslaughter’, (kuua bila kukusudia). Otherwise idhibitishwe kwamba ulipanga (premeditation), na ionyeshwe sababu iliyokusukuma kupanga mauaji (motive).kuna aliyeua kwa bahati mbaya akahukumiwa kunyongwa hadi kufa?
1.) Ukitaka kuua, unamchoma kisu begani au utamchoma kifuani na tumboni?
2.) Ukipanga kufanya mauaji, utatekeleza mpango mbele ya watoto au kwa siri?