FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Ndio ujue huyo hakimu ni taahira. Unapokwaruzana na mtu, kisha katika ugomvi huo mmoja wenu akapoteza maisha, inaitwa ‘manslaughter’, (kuua bila kukusudia). Otherwise idhibitishwe kwamba ulipanga (premeditation), na ionyeshwe sababu iliyokusukuma kupanga mauaji (motive).kuna aliyeua kwa bahati mbaya akahukumiwa kunyongwa hadi kufa?
Haya kamwambie akate rufaa.Ndio ujue huyo hakimu ni taahira. Unapokwaruzana na mtu, kisha katika ugomvi huo mmoja wenu akapoteza maisha, inaitwa ‘manslaughter’, (kuua bila kukusudia). Otherwise idhibitishwe kwamba ulipanga (premeditation), na ionyeshwe sababu iliyokusukuma kupanga mauaji (motive).
1.) Ukitaka kuua, unamchoma kisu begani au utamchoma kifuani na tumboni?
2.) Ukipanga kufanya mauaji, utatekeleza mpango mbele ya watoto au kwa siri?
Kwa vyovyote vile hakuna sifa ambayo yyt anaweza kumfisia muuaji!Hamna lolote nyie. We subiri uone wenzio watakavyomponda hapa lakini siku ya tukio walimpa kongole.
Sasa yeye aliyebaki duniani na mke wake marehemu nani kapumzika kwa amani?
Sio kazi yangu, ila nimekuelewesha tu ujue tuna mahakimu vilaza sana, sijui wana matatizo gani...Haya kamwambie akate rufaa.
Ila uwezi jua, sio kila mwanaume anaweza kupata mwanamke muda wowoteNi maboya
Hata akiua kama ni wa kukosa atakosa tuIla uwezi jua, sio kila mwanaume anaweza kupata mwanamke muda wowote
Naunga mkono hojaHiyo surname ya jamaa ina-sound kama ya Kiafrika Magharibi,jamaa ni wale Wanigeria wahamiaji haramu inawezekana!
Taahira ni wewe yaani mtu amuite Sehemu huku amebeba kisu kwa kujiandaaNdio ujue huyo hakimu ni taahira. Unapokwaruzana na mtu, kisha katika ugomvi huo mmoja wenu akapoteza maisha, inaitwa ‘manslaughter’, (kuua bila kukusudia). Otherwise idhibitishwe kwamba ulipanga (premeditation), na ionyeshwe sababu iliyokusukuma kupanga mauaji (motive).
1.) Ukitaka kuua, unamchoma kisu begani au utamchoma kifuani na tumboni?
2.) Ukipanga kufanya mauaji, utatekeleza mpango mbele ya watoto au kwa siri?
Labda alimsomesha!!Hivi mwanamke akikushinda SI una mwacha!?? Au mm ndio Huwa siielewi!?
Hiyo ya kumuita sehemu sijui ipo kwenye uzi upi, lakini hata hivyo. Ukigombana na mtu na katika rapsha rapsha ukachukuanjiwe ukampiga nalo na akapoteza maisha, hiyo ni ‘manslaughter’. Kwa sababu hakuna ‘premeditation’.Taahira ni wewe yaani mtu amuite Sehemu huku amebeba kisu kwa kujiandaa
kabisa na mauaji halafu iwe manslaughter
Na ww mla kimasihara unakwazika?Haya mambo kama mwanaume hupaswi kumcheka mwanaume mwenzio... hawa viumbe wanakwaza sana kama huna moyo wa kusamhehe na kumove on aisee unafanya mambp magumu. Katumikie adhabu kamanda huwezi jua nani kesho atakufataa.