Mbona wa CCM hawatekwi.RIP ndugu.Mimi kama mama nimeshika tumbo nimwamwambia Mungu neno kama Kuna kiongozi anashiriki na anajua kinachotokea basi Mungu amlipe sawasawa na maumivu aliopata Hawa watu ,watanzania,familia zao nk.Mimi nimeumia sana kama mwanamke niliyezaa kwa uchungu hivi mtu.akose kosa gani umwue kwa mates hayo.Ndio maana.kuna siku nilisema ukimwona mtoto wa polisi,kiongozi wa nchi ,au CCM wako vizuri wote ujue mzazi wake.alikuwa mwadilifu.Nyerere watoto.mpakq.wajukuu wakowako tu mpaka bibi kaachwa ashuhudie mpaka mwisho.Nimeumiansana ila baada ya kumwona RC wa kaskazini anerudi nilijua basi kazi imeanza.Muwe macho vijana na wazee serikali hataki kukosolewa pamoja na.kuwa na dola yote ila yanamwisho leo nimesali sana nimeumia sana nimelia sana Mungu sikia maombi yetu soon ukombozo