Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Watanzania tutakuwa WAJINGA mpaka lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Damu ya mtu huwa haipotei bure wataanza kuilipa tu soon ni kawaida ya binadamu kulewa madaraka nakujiona wamekalia kiti cha enziHii Damu haiendi bure.....
Yaliyotokea yatatokea tenaBado Nakumbuka comment yako siku ya tarehe 17.03.2021
Duh,Hapana.magufuli ana afadhali.
Idadi ya utekaji ya kipindi cha samia ni KUBWA SANAkuliko kipindi cha magufuli. Huu ukweli tuuseme na tuukubali.wewe hauoni?
Wao watakuwa na sababu zao, lakini Katika yote bora wangemuundia zengwe wamsoke jela lakini Si kumuua kikatili!Nimeshangaa kuona mtu anauliwa bila sababu
Wewe si mwananchi mbona hujachukua hatuaWananchi mnasubir mfanywe nini ndio mchukue hatua?
Hata hili la mtu kutekwa mchana kweupe na kuuwawa nalo halitoshi?
Ulisema hakuna tena mambo hayo maana mbaya wako alikuwa ndiye anafanya udhalimu huo. Nilikueleza kuwa mawazo yako yalitokana na mahaba hasi kwa JPM yakishinikizwa na mihemko; lakini hayakuwa yanaakisi hali halisi.Yaliyotokea yatatokea tena
Magufuli ndio muasisi wa huu uchafuUlisema hakuna tena mambo hayo maana mbaya wako alikuwa ndiye anafanya udhalimu huo. Nilikueleza kuwa mawazo yako yalitokana na mahaba hasi kwa JPM yakishinikizwa na mihemko; lakini hayakuwa yanaakisi hali halisi.
Wajiuzuru!!!!? Usishangae wakipabdishwa vyeo, kwa kazi zao nzuri!!!Kuna watu inatakiwa wajiuzuli tu kwa kudhurumu haki za watu kuishi kama bado wataendelea kuwepo Kuna hatari kubwa