TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Mbona wa CCM hawatekwi.RIP ndugu.Mimi kama mama nimeshika tumbo nimwamwambia Mungu neno kama Kuna kiongozi anashiriki na anajua kinachotokea basi Mungu amlipe sawasawa na maumivu aliopata Hawa watu ,watanzania,familia zao nk.Mimi nimeumia sana kama mwanamke niliyezaa kwa uchungu hivi mtu.akose kosa gani umwue kwa mates hayo.Ndio maana.kuna siku nilisema ukimwona mtoto wa polisi,kiongozi wa nchi ,au CCM wako vizuri wote ujue mzazi wake.alikuwa mwadilifu.Nyerere watoto.mpakq.wajukuu wakowako tu mpaka bibi kaachwa ashuhudie mpaka mwisho.Nimeumiansana ila baada ya kumwona RC wa kaskazini anerudi nilijua basi kazi imeanza.Muwe macho vijana na wazee serikali hataki kukosolewa pamoja na.kuwa na dola yote ila yanamwisho leo nimesali sana nimeumia sana nimelia sana Mungu sikia maombi yetu soon ukombozo
 
The hunger for personal gain inatafuna watu. Hapa ndio zinakuja zile kauli kipindi cha uchaguzi, Chama kimefanya mambo makubwa kuendelea kubaki hapa kilipo. Hayo mambo makubwa sasa hayatajwi
 
Bila shaka Mungu anajua watanzania ni wagumu kuungana kujipagania japo mioyono wana maumivu, hivyo atatafuta mbinu ya kuwasaidia kama alivyonya kwa wana wa Israeli kupitia Mussa.

Kwa msingi huo, hiki kilio kinachoendelea sasa, Mungu ataamua ugomvi kama alivyofanya 2021 na hapo ndio itakuwa zamu ya watesi wetu nao kulia.

Time will tell.
 
Ninashauri huo mwili ubebwe kwa maandamano mpaka nyumbani kwa Spika, Waziri wa mambo ya ndani n.k waliosema hakuna utekaji, mmiliki wa hilo basi atafutwe ahojiwe kwanini ameshirikiana na watekaji kumuua abiria? Maandamano ya Nguvu kila kona ndiyo jawabu. Wahusika wafahamike na wawajibishwe!
 
Back
Top Bottom