TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Kama mtu anatekwa kati kati ya umati wa watu huku raia wakikodoa macho tu kama wapo cinema vile hii tabia itaendelea kuwepo tu.

Kinachotakiwa raia ni kuwa na umoja t hakuna kuondika na mtu kienyeji namna iyo.
Raia hawana umoja, wana umoja kwenye mambo ya kijinga, yanga na simba , udaku. Just imagine

Kuna devide and rule kubwa mno kwenye jamii
 
R.I.P JPM ulikua unasingiziwa sana. Ona sasa watu wanaendelea kuokotwa wameuwawa ila wala Rais hatajwi kwenye mauaji hayo
Kuna watu walilipwa kumtukana yule mzee...

Bahati nzuri Mungu akajibu maombi yao..

Bahati mbaya yale matukio yaliyotumika kumtukana Magufuli bado yanayoendelea...

Bahati nzuri kundi lililo walipa kipindi kile ndio linaongoza sasa, kwahiyo watukanaji wanakosa nguvu ya kutukana...

Wanatamani wamtaje Magufuli ila hayupo...

NB: Rest in peace Ally Kibao, haya matukio yatakoma tukiacha unafiki...

Siku tukiweza kuacha unafiki haya matukio yatakwisha yenyewe..

CCM wanajua wapinzani ni wanafiki, wanatumia upenyo huo kutunyoosha..

Na tutanyooshwa kwelikweli tusipoacha unafiki...
 
Dah tumefikia pabaya

Jeshi letu inatumalzia kisha uchu wa uchu wa madaraka.
 
😂 aisee
 
Ndiyo wameamua iwe hivi?
 
Hata kibiashara sio sawa, kampuni za usafirishaji zinyanyuke kupaza sauti kwenye hili pia vinginevyo hata wenye nia mbaya watapitia humo humo.

Uo usalama wa safari ni upi kama abiria/mteja anaanza safari vizuri lakini hafikishwi mwisho wa safari yake? Kama watu wa usalama wana uhitaji na abiria waweke utaratibu wa kuhakikisha anaachwa kituo chochote cha polisi na sio kuvamiwa tu ndani ya gari na kuchukuliwa, vipi kama hao watu sio polisi? Sijui nimewaza vibaya wakuu ila inasikitisha sana.
 
Dah nilijua UVCCM watashangilia.

Mbegu ya chuki tunayoipanda itaota tu. JUst wait
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…