johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Duh
Mtu mmoja mwenye haki alisababisha mabadiliko makubwa Misri na Tunisia 🐼
Mtu mmoja mwenye haki alisababisha mabadiliko makubwa Misri na Tunisia 🐼
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kuwa na furaha wewe uko hai na salama lakini nduguzo na jirani zako wanaomboleza misiba inayosababishwa na binadamu wenzao...Hata hili litapita kama mengine sisi tugoje yetu tu. Huu ndiyo mfumo tulio amua twende naa kwa sasa, tutauzoea tu, mbona nchi za wenzetu hivi vitu ni kawaida tu. Wewe ukiamka salama mshukuru Mungu nenda kazini kama utabahatika kurudi salama nyumbani shukuru Mungu. Mfa maji haishi kutapa tapa
Mungu akiamua kukuumbua juu ya muumba wake hashindwiSio jambo jipya watu kufanya mauji huko mitaani tunapoishi kama Kuna watu wapo tayari kukuua sababu yakunyang'anya simu tu sasa mtu kama huyu ukimpa posho nzuri na maisha yakufurahia hapa duniani kuua itakuwa ni jambo dogo
Kama mnavyosikia habari za watu kupotea ni wengi sana lakini zinazolipotiwa ni zile tu za watu wenye nyazifa fulani kwenye tukio
Maono yangu nazani Kuna uwezekano mkubwa kwenye hii plan hawa wazee wa tinted nyeusi hawakujua wanayekuja kumkamata mpaka wamekuja kudedisha walijua ni raia wa kawaida lakini ndio hivyo mtu wa watu alikuwa mtu wa dini wamejikuta wanajichanganya maiti huwa zinatupwa polni Leo hii tumeiona ununio
CCM kiburi chake atakiweza Mungu tu.
Hakuna shaka kuwa CCM wanahusika na utekaji. Huenda lipo kundi ndani yake lina kazi hiyoDuh
Mtu mmoja mwenye haki alisababisha mabadiliko makubwa Misri na Tunisia 🐼
Inawezekana serikali INAHUJUMIWA....
Iko siku hili litathibitika....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Toa picha ya hiyo mama kwa profile yako.Kama jeshi la polisi na usalama wa taifa limemshindwa Mbowe had anaua anayemtaka basi kazi ipo.
Inawezekana Maiti iligoma kuipotezea ushahidi wakeHawataki kujifunza kilichotokea awamu ya 5...Ogopa kilio cha wengi.
Nawaomba wazee wa Tanga watoe funzo kwa hao WAHUNI waliomuua Mzee Ali Kibao.
Kabisa naonaaMnatafutia watu ban bure
kwanini haya yote yanafanyika kipindi hiki cha uchaguzi wa ndani wa chadema tu?
na kwanini wahusika wa songombingo ya kabokamchizi ni kwa watu wa chadema pekee?
nafasi ya mtoa taarifa hizi wa Chadema ni ipi hasa hata aonekane kama vile alikuepo wakati wa utekaji, lakini pia yupo kama vile alikua akishuhudia mwisho wa tukio na matokeo ya utekaji?
na mbona matukio haya yanaongezeka zaidi wakati wa uchaguzi wa ngazi ya juu chadema?🐒
Kwa hali hii,
kuna anaempinga mwezake chadema alie salama kweli?
nadhani kuna haja ya uchunguzi yakinifu chadema 🐒
Nashauri, tuchange Hela, yatafutwe magaidi ya alshababu na sisi tuanza kuwatungua hao watekaji na hao waliowatuma kimya kimya, hii ndio dawa Yao fire by fireHakuna nguvu ya dola iliyowahi ishinda nguvu ya umma.
Kumalizwa hatabila kuandamana watakumaliza tu kwani hao waliouawa na kumalizwa waliandamana?
Leo mzee wetu, hatujui kesho ni nani? Inaweza kuwa wewe au mimi. Bila kupiga kelele, tutakuwa kama kondoo mbele ya Fisi mkuu.
Tanzania ni
Kulaumu Polisi kwa ujumla, hapana...Polisi wanavyokaa kimya wanaset negative precedent, matokeo yake wananchi wataanza kujichukulia sheria mkononi kwa mtu yoyote wanayemtilia shaka.
Ukisikiliza scene zote za utekaji unaona tu watu walikuja kiraia wakambeba mtu , huku watu wakibaki wanaangalia.
Mfano huyo waliomteka kwenye basi kama wananchi wangeamua kufunga basi na kusema hakuna kumchukua mtu je hao watekaji 4 wangeweza kumudu kuua watu wote 50+ kwa mkupuo?
Au polisi kutokana na kuchukua failures wengi ndio akili zimedumaa kabisa?