Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

Huyo mwanaume alikuwa mlemavu au mtu wa mitungi au kikongwe?

Mwanaume mwenye utimilifu wa mwili na akili, huwezi chomwa ndani ya nyumba na usitafute means za kutoka nje hata kwa kupitia kwenye dari, kisha kutoka kupitia roof
Omba sana yasikukute ndugu yangu, siku yake tu ilikua imefika apumzike kwa Amani mpambanaji mwenzetu.

Matukio kama hayo ukitoka siyo sababu wewe jabari sana bali Mungu tu hajakuita kwake bado
 
Sikilizia povuuu la wanaume humu sasa[emoji1787][emoji1787][emoji14]

Wanawake sasa wameamka, huu ndo uanamke wa shoka, sio kuja kulia lia humu sijui napigwa, sijui nanyanyaswa! Piga petrol[emoji16][emoji16]

[emoji23][emoji23] wanawake wa sasa hawataki ujinga, ukisaliti unasalitiwa. Ukizingua wanakuzingua. Wanaume wakae kwa kutulia na wanawake zao, vinginevyo nyuzi za lawama hazitaisha humu jamvini
 
Washauri ujinga! Kama ndio mnavyokaa na kushauriana hivi basi amini nawaambia mtakwisha, yale ya gunia mbili za mkaa kwasasa zitakuwa kuanzia gunia tano!
Mark my words!!

Ni suala la timings tu. Atakayemuwahi mwenzie haya [emoji3]. Gunia tano kwa petroli. Wanaume badilikeni vinginevyo wanawake watawaumiza sana tu
 
Kwenye issue kama hizi huwa si comment kwa mkurupuko. Mara kibao kwa hizi kesi marehemu huwa ni mchokozi. Naomba niishie hapo kwa leo

Umenena vyema, sema anayemaliza siku zote ndo mshenzi, ila anayeanza wala
 
Duh inabidi tujitahidi kucontrol hasira na usifanye maamuzi ukiwa na hasira maana majuto baadaye, sasa Neema jela inamsubiri huku mume hayupo dhamira itamsuta milele so sad

Bora yako wewe jamaa alipozingua ulileta uzi huku jamvini tukakufariji moyo na sasa unaendelea vyema. Neema kajichukulia sheria mkononi, kamaliza ye mwenyewe [emoji3].
 
Mwana kafa kizembe kinyama, papatu papatu kashindwa kuurukia mlango na miguu miwili nginjaaaaa, baharia amefeli wap?

Hata ukiingia kwenye 18 za Simba huwezi kukubali kufa kizembe lazima ujitete hata kwa kumbinya mbupu zake ili umpe mtihani na yeye sembuse moto

All in rip baharia

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Sahihi kabisa kaka. Hawa wenzetu ni wavumilivu sana ukiwa nao fair, ila ukimzingua, huwa wana maamuzi ya ajabu sana. Binafsi hata katika maisha ya kawaida, huwa sipendi quarrel na mwanamke, huwa wana maamuzi ya ajabu sana hawa viumbe!

Kisaikolojia wanasema mwanamke hupenda kumuona adui yake wa kike akiteseka, ila adui yake wa kiume wao hummaliza sababu wanajua hawana nguvu za kimaumbile kupambana nao.
Nimetoka na kitu hapa
 
Sometimes tuzitafakari kwa makini hizi scenarios

Unakutana na binti ya watu.. Ana ndoto zake .. Mnayajenga na kuingia kwenye ulimwengu wa mahusiano mpaka ndoa
Anakusaidia kwa mengi mno unamtumia mpaka kusikofaa kutumika kiutu.

Unamharibu na kumharibia mengi.. Ila kwakuwa wewe ni wake anaridhia kiroho safi kabisa na bila kinyongo

HALAFU unakuja kumletea zinazomchoma moyo na kumuumiza hisia...! Muogope sana mwanamke aliyejeruhiwa
Ndio umchome mwenzio moto. Kuna watu humu mapenzi yamewahi kutujeruhi tukapoteza muda, fedha na kudhalilika lakini sikuwahi fikiria kuuwa.
 
Huyu dada alichofanya siyo sahihi kabisa na hakuna sababu itakayoweza kujustifaii hayo mauwaji. Akidakwa na yeye sheria ichukue nafasi tu.

Haiwezekani uue mwenzio km unachoma takataka
 
Bora yako wewe jamaa alipozingua ulileta uzi huku jamvini tukakufariji moyo na sasa unaendelea vyema. Neema kajichukulia sheria mkononi, kamaliza ye mwenyewe [emoji3].
Kabisa nilifanya uamuzi sahihi kuspeak out humu kinachonisibu na nikasaidika, now niko poa kiasi🤔 nawashauri akina Neema wasifanye maamuzi wakiwa na hasira ni majuto baadaye
 
Kabisa nilifanya uamuzi sahihi kuspeak out humu kinachonisibu na nikasaidika, now niko poa kiasi[emoji848] nawashauri akina Neema wasifanye maamuzi wakiwa na hasira ni majuto baadaye

Believe me, with time utapona na utamshukuru Mungu kwa kukuvusha hapo. Sema binadamu huwa tunakosa subira wakati mwingine. Mtu kama hakutaki mwache aende
 
Back
Top Bottom