Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

Aisee, duniani kachomwa kwa sababu ya dhambi, mbinguni tena moto mwanana unamsubiri. Ila angalau atakuwa tayari ako na uzoefu.
Lakini aliyechoma hana dhambi?
Tena huyo ndio moto utakuwa mkali mno.
 
Kwanini kifo cha aibu?
Alipochomwa mwanamke mwenzenu mlilaani ila sasa mmepindua meza.
Tumeshtuka nikiona mwanamke anaenda kununua petrol natoka nduki
Kafia kwa mchepuko ni aibu. Mi wala sijali watu wachomane tu
 
Ila itabidi tubadili mbwinu, ile ya heart attack ni nzuri zaidi. Unakuwa huna kesi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] @Demi na @Espy hamuendi mbinguni. Hiyo ya heart attack ndo ikoje ikoje hiyo? Mumeshabunu mbwinu mpaka za kuwapa wenzenu mashambulio ya moyo [emoji3]
 
Hii jinsia ina taabu sana imesababisha mzee wa watu kupoteza maisha yake kwa njia ya kikatili sana. Kweli ni mawakala wa shetani.

Vitu vitatu vinavyokatisha uhai

I) Mapenzi
II) Ulevi kupindukia
iii) Wizi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] @Demi na @Espy hamuendi mbinguni. Hiyo ya heart attack ndo ikoje ikoje hiyo? Mumeshabunu mbwinu mpaka za kuwapa wenzenu mashambulio ya moyo [emoji3]
Hii haina kelele mingi, ya kuwachoma kila mtu anaishupalia. Hiyo nyinhine hadi muhusika anapewa pole yaani[emoji1787][emoji1787]
 
Lakini aliyechoma hana dhambi?
Tena huyo ndio moto utakuwa mkali mno.
Aliyechoma dhambi yake sio kubwa kiviiile, atakuwa tu anawachochea wenzie taratiibu maana nae ana uzoefu wa kuchoma.
 
Aliyechoma dhambi yake sio kubwa kiviiile, atakuwa tu anawachochea wenzie taratiibu maana nae ana uzoefu wa kuchoma.
Screenshot_20210717-222959.jpg
 
Wachaga mmeamua kutrend saizi
Neema kamchoma mwenzie
Huku massawe kamtapeli waziri
 
Undugu unasaidia kulinda uhai. Mnagombana kwenye kutinduana ila unapokumbuka heshima ya undugu basi hasira zote zinatulia
Sasa umeoza kwa uncle mautam,upole plus attention then unakuta txt ya mchepuko sio mkewake (anti)
Unafikiri utakumbuka undungu!?
 
ndizi sukari zina.maajabu gani?
Hapo mjini Mbeya huwa inapandwa ukienda kulalamika. Inaanza kuiva sasa kila ikiiva ikadondoka huku familia ya ulomlalamikia anadondoka pia mmoja baada ya mmoja, sasa zihesabu hizo ndizi ziko ngapi. Au Mwanza, visiwa vya Ukerewe wana dawa yao hiyo yaitwa Lutego, sikia tu
 
ngoja tusikie maelezo ya mtuhumiwa mahakamani
 
Back
Top Bottom