Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Lakini aliyechoma hana dhambi?Aisee, duniani kachomwa kwa sababu ya dhambi, mbinguni tena moto mwanana unamsubiri. Ila angalau atakuwa tayari ako na uzoefu.
Kafia kwa mchepuko ni aibu. Mi wala sijali watu wachomane tuKwanini kifo cha aibu?
Alipochomwa mwanamke mwenzenu mlilaani ila sasa mmepindua meza.
Tumeshtuka nikiona mwanamke anaenda kununua petrol natoka nduki
Ila itabidi tubadili mbwinu, ile ya heart attack ni nzuri zaidi. Unakuwa huna kesi.
Mnataka league! Mnauhakika mtaiweza?
Hii jinsia ina taabu sana imesababisha mzee wa watu kupoteza maisha yake kwa njia ya kikatili sana. Kweli ni mawakala wa shetani.
Aondoke aende wapi?Hata kama alikuwa anapitia magumu kiasi gani hakutakiwa kutenda alichotenda bali alikuwa na nafasi ya kuondoka akaishi maisha yake.
Hii haina kelele mingi, ya kuwachoma kila mtu anaishupalia. Hiyo nyinhine hadi muhusika anapewa pole yaani[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] @Demi na @Espy hamuendi mbinguni. Hiyo ya heart attack ndo ikoje ikoje hiyo? Mumeshabunu mbwinu mpaka za kuwapa wenzenu mashambulio ya moyo [emoji3]
Aliyechoma dhambi yake sio kubwa kiviiile, atakuwa tu anawachochea wenzie taratiibu maana nae ana uzoefu wa kuchoma.Lakini aliyechoma hana dhambi?
Tena huyo ndio moto utakuwa mkali mno.
Uzuri wa mwanamke ninini? Nani mwanamke mzuri?Ana uzuri gani huyo?
Aisee!
Aliyechoma dhambi yake sio kubwa kiviiile, atakuwa tu anawachochea wenzie taratiibu maana nae ana uzoefu wa kuchoma.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na yule mwingine kamfyatulia mtu risasi.Wachaga mmeamua kutrend saizi
Neema kamchoma mwenzie
Huku massawe kamtapeli waziri
nae alikuwa mchaga?Na yule mwingine kamfyatulia mtu risasi.
Ila uncle usimchome[emoji23]Neema ameonesha njia [emoji1787]
Sasa umeoza kwa uncle mautam,upole plus attention then unakuta txt ya mchepuko sio mkewake (anti)Undugu unasaidia kulinda uhai. Mnagombana kwenye kutinduana ila unapokumbuka heshima ya undugu basi hasira zote zinatulia
Hapo mjini Mbeya huwa inapandwa ukienda kulalamika. Inaanza kuiva sasa kila ikiiva ikadondoka huku familia ya ulomlalamikia anadondoka pia mmoja baada ya mmoja, sasa zihesabu hizo ndizi ziko ngapi. Au Mwanza, visiwa vya Ukerewe wana dawa yao hiyo yaitwa Lutego, sikia tundizi sukari zina.maajabu gani?
ngoja tusikie maelezo ya mtuhumiwa mahakamaniHapo mjini Mbeya huwa inapandwa ukienda kulalamika. Inaanza kuiva sasa kila ikiiva ikadondoka huku familia ya ulomlalamikia anadondoka pia mmoja baada ya mmoja, sasa zihesabu hizo ndizi ziko ngapi. Au Mwanza, visiwa vya Ukerewe wana dawa yao hiyo yaitwa Lutego, sikia tu