Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

Lakini nature yetu wanaume ni kumiliki wanawake, ukisoma maandiko katika Uislam mwanaume ameruhusiwa kumiliki hadi wanne... Kama uko na mmoja lakini hataki umiliki mwingine unamweka pembeni unamiliki wenziwe wanaotaka kumilikiwa zaidi ya mmoja.... Lakini kwa upande wa mwanamke na natural mwanamke ni mama wa nyumba (sijamaanisha ni mama wa nyumbani) hivyo hawezi kumilikiwa na wawili kwa wakati mmoja lazima ataboronga tu!
Natural mwananume ni mtafutaji na hivyo hutumia muda kutafuta kwa ajili ya familia yake, je mwanamke akimilikiwa na wawili umefikiria ni wapi au ni vipi ataendesha familia yake? Katika hao aliowamiliki wakihitaji mtoto kwa wakati mmoja atabeba mimba ya yupi na kuacha yupi asimbebee??
Kumiliki mke zaidi ya mmoja ni uhuni PERIOD [emoji848]
 
Noma sana mkuu reaction ya mwanamke mpumbavu ni disaster!

Alichoma nyumba ndani mna mpangaji kalala na mwanae,nje duka la spare za pikipiki ndani mna jamaa hiyo jana aliingiza pikipiki mpya na mlikuwa na store ya mtu kajaza mzigo wa dagaa vyote vimeteketea Mungu saidia huyu dada mpangaji alitoka salama ila huyu dogo akawa muhanga,mpaka sasa hivi panafuka moshi yote ni mal@ya mmoja kasababisha.
Subhanallah
Inamaana huyo dada mpangaji na mwanae wamepona?
 
Inasikitisha sana[emoji22]
 
Subhanallah
Inamaana huyo dada mpangaji na mwanae wamepona?
Mungu ni mwema alitoka na anasema alitoka nje ili akajisaidie haja ndogo kurudi akakuta chumba cha mtoto wa mwenye nyumba ndani mnafuka moshi huku mtu anagonga kwa ndani afunguliwe alichofanya akaenda kumwamsha mwanae wakatoka nje kuomba msaada kwa majirani kurudi corridor nzima imeshajaa moto.

Hata huyu aliyefanya unyama huu aliungua miguuni akatoka nje mbio uchi,vitu vya ajabu sana.
 
Ayseee
Poleni sana
 
Back
Top Bottom