Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Leo nimefurahi Sana kwa hakika ...Rais wangu na Commander in Chief of our Armed Forces in military uniform and in full command......bravo bravo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo nimefurahi Sana kwa hakika ...Rais wangu na Commander in Chief of our Armed Forces in military uniform and in full command......bravo bravo...
Inapaswa uje utengenezwe ushungi wa kijeda kwa kweliHivi kumbe hakuna ushungi wa kijeda jeda?
Walipiga za MGAMBO WANARUKA NA KUKANYAGANA.Hivi kwa nini Mkapa, Mwinyi & Nyerere hawakupenda kuvaa hizo gwanda.
Hivi kumbe hakuna ushungi wa kijeda jeda?
sawa mkuu#Siempre JMT
#Nchi Kwanza
😍Mama kivazi hakijakukataa...
Anaiga yeye ndio amiri jeshi mkuu kwa hiyo hata akivaa kila siku sawa tuAnaiga kila kitu cha jiwe.
Hivi nyie kwa maneno duh??😁😁 Lakini mko sahihi kwani hata Jeshi la India na Pakistan Kuna vilemba vya masingasingaInapaswa uje utengenezwe ushungi wa kijeda kwa kweli
Kosa CDF Kakaa kulia badala ya kushoto. Nani mkuu sasa?Rais Samia leo akiwa amevalia nguo za kijeshi amehudhuria ufunguzi wa kikao cha mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Lugalo, Dar es Salaam. Rais Samia anatarajiwa kuhutubia kwenye kikao hicho.
View attachment 2011511View attachment 2011512View attachment 2011513View attachment 2011514
Kwani waziri wa ulinzi anahusika na mambo ya Vita?!!!
Rais Samia leo akiwa amevalia nguo za kijeshi amehudhuria ufunguzi wa kikao cha mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Lugalo, Dar es Salaam. Rais Samia anatarajiwa kuhutubia kwenye kikao hicho.
View attachment 2011557
View attachment 2011511View attachment 2011512View attachment 2011513View attachment 2011514
Mama kausaliti ushungi uliomuwezesha kupata mume & cheo
Lkn you can't see a single hair. Somehow bado kajistiriMama kausaliti ushungi uliomuwezesha kupata mume & cheo
Kwani jamani wavaao ushungi sio pisi kali?Kumbe akiondoa ushungi vijana wana msemo wao kwamba ni pisi kali
Lkn you can't see a single hair. Somehow bado kajistiri
Mbona wanaharakati hajachafukwa kama kipindi magufuli alipovaa kombati? Magufuli watu walijua kumchukia bila sababuAmevaa nguo kama za Magufuli