Dar: Amiri Jeshi Mkuu rais Samia, Wananchi Waelimishwe umuhimu wa amani na madhara ya kujihusisha na vitendo vya kigaidi

Dar: Amiri Jeshi Mkuu rais Samia, Wananchi Waelimishwe umuhimu wa amani na madhara ya kujihusisha na vitendo vya kigaidi

Leo nimefurahi Sana kwa hakika ...Rais wangu na Commander in Chief of our Armed Forces in military uniform and in full command......bravo bravo...
2919120_IMG-20210908-WA0048.jpg
 
Kwani waziri wa ulinzi anahusika na mambo ya Vita?!!!

Kuna wakati inakuwa lazima waziri wa ulinzi inabidi ahusike na mambo hayo!! Hawezi kukaa ofisi tu, experience yetu inaonesha kuwa kunawakati lazima aende frontline to motivate the soldiers!! Sokoine ilibidi aende wakati wa vita ya Kagera. Si hivyo tu wakati wa MUTINY ya Askari Jeshi wetu ilikuwa Waziri wa Ulinzi Kambona ndiye aliyekwenda kuzungumza na wanajeshi na kuokoa jahazi!!!
 
Naona leo hata jicho halembui yupo kikakamavu,usilitupe jwtz wekeza kwenye jwtz
 
Kwa hiyo Kuna mapungufu kwa mwanamke kwenda FRONTLINE kumotivate?!!!😳

Basi JWTZ isingekuwa na majenerali wanawake.....
 
Back
Top Bottom