Dar: Askari polisi auawa baa ya Kitambaa Cheupe, njia panda ya Nzasa, usiku wa kuamkia 6.10.2024

Sio sehemu za kwenda kichwa kichwa Kuna umafia mwingi..Kuna watu walishaga kufa zamani wamebaki na viwili wili..
Kabisa,wale watu wanaotoka kusini,Maisha ni magumu kwao yaani wamevurugwa asee ile ndio califonia ya Bongo kila ufusika uko kule so mchezo, nikasema apa kinondoni ikasome ni vile tu biashara ya madawa haijawa kubwa sana huko.
 
Kabisa,wale watu wanaotoka kusini,Maisha ni magumu kwao yaani wamevurugwa asee ile ndio califonia ya Bongo kila ufusika uko kule so mchezo, nikasema apa kinondoni ikasome ni vile tu biashara ya madawa haijawa kubwa sana huko.
Ni kawaida kule kukutana na binti mdogo ana smoke weed,sigara na zile pombekali za kwenye vichupa.
 
Serikali isituzuie kuandamana kupiga kelele dhidi ya haya mauaji ya raia.

Huyu ni askari wa pili ndani ya muda mfupi baada ya yule wa Zanzibar.

Kwangu mimi, kifo siyo kifo tu.
Siyo askari wote ni Mafwele. Uhai ni thamani kubwa.

Baba kaenda ameacha familia itahangaika
 
Sawa kifo ni kifo tu,

Tuendelee kuchapa Kazi.

Poleni wafiwa
 
Watapatikana tuu
 
Ni juzi kati nimetoka kuandika hili andiko 👇

Aisee tayari kimeshaanza kuumana 😔 Tanzania yangu jamani!
 

Umeona utofauti? Yaani Tukio limetokea usiku wa saa 10:00 bila kupita hata masaa(saa) 6 watuhumiwa watano washakamatwa.

Na kila siku huwa nasema likitokea tukio kubwa either kifo au lenye kuleta taharuki nchini na hakuna mtu aliyekamatwa basi jua ni "WATU WASIOJULIKANA" wamefanya yao lakini kama tofauti na hao basi haitopita hata week washakamatwa waliofanya tukio.

Ndiyo maana tukio la SATIVA,SOKA,KIBAO,KUPIGWA RISASI LISSU hakuna aliyekamatwa mpaka sasa jua ni "WATU WASIOJULIKANA" wamefanya hayo matukio.
 
Umetisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…