Dar: Askari polisi auawa baa ya Kitambaa Cheupe, njia panda ya Nzasa, usiku wa kuamkia 6.10.2024

Sasa mmoja na wa cheo cha chini hivyo!
Wangelikufa 3567+ sawa tena wa vyeo vya jujuuuuu.
 
Si umesoma hapo, wamekamatwa watu watano kwa uchunguzi zaidi,

Kule kwa Mzee Kibao kimya Hadi sasa, ngoja tuendelee kusubiri pengine waliomuuwa watapatikana Inshallah,
Kule kwa mzee kibao Boni yai ndiyo anachelewesha uchunguzi, kagoma kabisa kutoa codes za simu zake, na inaonekana kuna kitu kimo mule kuhusu mchoro mzima wa mzee kibao ndiyo maana hataki kutoa!!
 
Kule kwa mzee kibao Boni yai ndiyo anachelewesha uchunguzi, kagoma kabisa kutoa codes za simu zake, na inaonekana kuna kitu kimo mule kuhusu mchoro mzima wa mzee kibao ndiyo maana hataki kutoa!!
Kuna raia anaweza kugombea polisi wa kibongo, Tena kwenye kesi kubwa kama hiyo?

Mbona anashtakiwa kwa uchochezi, hayo ya Mzee Kibao umeyatoa wapi?

Je kama asipotoa hizo code, inamaana wauaji hawatapatikana?
 
Tunataka code full stop!![emoji113] kama hakuna tunacho kitaka,tunaachana na wwe kwa usalama tu!!
 
Kifo ni kifo tu.

RIP afande Barnaba Andrew Mhonya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…