Dar: Askari polisi auawa baa ya Kitambaa Cheupe, njia panda ya Nzasa, usiku wa kuamkia 6.10.2024

Rip alikuwa anaelekea kuwa na future nzuri Sana .
Yaan,
Hapa ndipo Ile maana ya kua hakuna aijuaye kesho.

Huko kitambaa cheupe ilikua Ni kikazi au alikua ana enjoy weekend au walikua wanagombea Malaya maana huko mbagala na viunga vyake bangi inavutwa huku wanakunywa pombekali za kupima.

NB.
Mwenyezi Mungu atuepushe na STAREHE NA MITIANI YA UJANA.
 
Mimi sijawahi kuuwa hata sisimizi
 

Sijajua - mkuu kazi yao imejaa kona kona nyingi.
 
Buyobe kama Buyobe
 
Alafu kuna mjinga mmoja anakuja ropoka humu eti polisi wote form IV tena wale waliopata F, jeshi letu la polisi sasa hivi limejaa wasomi! Yaani kwa kifupi Tanzania sasa hivi wasomi ni wengi sana na wapo kila mahali hadi huko kitaani kwenye biashara za machinga!!
 
Ila mi nazani chanzo cha mauwaji si ukabaji,ni ugomvi!!
 
Wasomi kulinda bank mlangoni na kufungua milango ya mabosi.
 
Ila wa F za form four wapo. Na uwepo wao haufutwi na degree wala masters za wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…