Dar: Askari walioiba Tsh. Milioni 90 kwa kutumia Silaha wafutwa kazi, washtakiwa upya kama Raia huru

Acha UONGO,haikuwa hivyo issue ya Zombe
 
Siwezi kukupa bunduki kisha tarehe 15 unakuja ofisini kuomba adivansi ya mshahara, nitakufuta kazi.
 
Kwahiyo walioshtakiwa ni wale wa awali waliochukua 90m au wa mara ya pili wengine waliochukua 50m akiwa na mmojawapo wa wale aliyechukua 90m awali?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
wakaone huko wanakotupelekaga bila sababu za msingi utamu wake.

hapo ukute lilikua dili la Wakubwa zao kikishanuka hawa waliotumwa ndio wanakua mbuzi wa kafara ndio ubaya wa kazi ya upolisi
 
Ila polisi kwa michezo haramu wamo sana. Wenyewe wanaita Dili
 
hakuna cha maboresho wala maboshori,walipwe pesa zinazoeleweka.

tunakoelekea matukio kama haya yatanawiri sana.
Polisi wanadhurumiwa sana posho zao,polisi wakienda kwenye operation pamoja na Wanajeshi kwenye kulipwa posho utakuta wenzao wanajeshi wanalipwa laki tatu, wao polisi wana lipwa elfu 30, Kwenye kusaini posho wanakuta imeandikwa elf 30 na wakisha maliza kusaini mabosi wao wanaongeza sifuri, kwenye kila laki tatu polisi anaporwa laki mbili na sabini.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 

ni taasisi pekee ambayo imekosa usimamizi kabisa,inajiendea tu na hakuna anayeona hatari iliyopo.
 
ni taasisi pekee ambayo imekosa usimamizi kabisa,inajiendea tu na hakuna anayeona hatari iliyopo.
Yani polisi ni jeshi la kipuuzi kweli, yaani Jeshi linaendeshwa kama kampuni ya Ulinzi, utakuta askari kapanda cheo lakini mshahara haupandi, yani askari anaweza akatumikia cheo kipya bila kubadilishiwa mshahara kwa miaka kumi na bila kufuatilia anaweza kulipwa mshahara wa private wakati ni sagent.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
M90 roughly kila mtu ankula 30ml. Okay.

inaleta tamaa pesa ndefu hiyo.
Sales manager grace donald matage🔥🔥🔥🔥

Hivi mwisho wa kesi, huwa wanalipwa walioibiwa au hukumu tu miaka 30 kwa wahusika?
 

mambo ya ajabu sana.

wanajiita jeshi lakini hawataki kuishi kijeshi wamekimbilia utumishi,ambako nako pia hawataki kuishi kama watumishi linapokuja swala la stahiki,ni ujanja ujanja tu ndicho wanaweza.

mtu anaanza kazi bila poshi ya kujikimu,akipewa anaambiwa ni mkopo,anakwenda likizo kila baada ya miaka 3 ajabu pesa ya likizo anakuja kulipwa miaka 7 baadae.
anaomba pesa kwa ajili ya kodi ya pango ya nyumba anaambiwa akaape mahakamani aje na kiapo[emoji23][emoji23][emoji23],maana yake sio utumishi wala HR wao wanaojua ni askari yupi anakaa nyumba za serikali(kota).

ukitaka kujua hii nchi watu wana mzaha uongozi kachungze mambo ya polisi.
 
Ulichosema kina angalau 20% ya ukweli wa hii kesi. Lakini, kimsingi kuna jambo nyuma ya pazia ambalo linaendelea. Tuendelee kufuatilia hii kesi lakini, kwa kuziweka hai na kuziongezea tamaa ya kufikiri akili zetu, tunapaswa kujua kwanza kwamba hawa watuhumiwa walikua askari kanzu kitengo cha kupambana na dawa za kulevya. Hii pengine itasaidia kufungua baadhi ya code.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…