milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Mlioko Dar,ishi tu Dar yenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimanisha nini mkuuNa muende mjini mkiwa mmeoga.
labda angani mkuu, mfano mtu anatoka Chanika anaelekea city centre atapita njia ipi nyingine ukiondoa Nyerere roadWangesema njia mbadala ni ipi ili watumiaji wa
hizo barabara wasihangaike
Watoto,wagonjwa na walemavu mmeweza kuwafikiria kuwa watapitia njia zipi ili wapate huduma?JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam imetangaza kuwa Barabara tisa Jijini Dar es Salaam, zimefungwa kwa siku sita kuanzia leo Januari 25 hadi Januari 30, 2025 ili kupisha misafara ya viongozi wanaokuja kutoka nchi mbalimbali kuhudhuria mkutano wa Nishati Afrika.
Taarifa ya Polisi iliyotolewa leo Jumamosi Januari 25,2025 na Kamanda Kanda Maalumu ya Polisi Dar es Salaam, Jumanne Muliro, imesema Mkutano huo utakaofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Januari 27 hadi Januari 28, 2025, unatarajiwa kuhudhuriwa na zaidi ya marais 25 na mawaziri 60 kutoka nchi mbalimbali za Afrika ambapo pia bajaji na bodaboba hazitaruhusiwa kuingia katikati ya Jiji katika kipindi chote ambacho mkutano huo utakuwa ukifanyika.
Barabara zitakazofungwa ni pamoja na Barabara ya Nyerere kutokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kwenda katikati ya Jiji, Barabara ya Sokoine, Kivukoni na Lithuli kuanzia taa za Gerezani kwenda Hoteli ya Johari Rotana, Hyatt Regency hadi Ikulu; Barabara ya Ohio kutokea Kivukoni kwenda Hoteli ya Serena na Barabara ya Ghana kutokea barabara ya Ohio kwenda Hoteli ya Onomo
Zingine ni Barabara ya Bibi Titi kutokea makutano ya barabara za Ohio na Ally Hassan Mwinyi kwenda Hoteli ya Crowne; Barabara ya Azikiwe kwenda Hoteli ya Four Points, Hoteli ya Golden Tulip City Center na Hoteli ya Holiday Inn; Barabara ya Morogoro kutokea Sokoine kwenda Hoteli ya Tiffany No. 1; Barabara ya Makunganya kutokea Azikiwe kwenda Hoteli ya Tiffany No. 2 na Barabara ya Garden kutokea barabara ya Lithuli kwenda Hoteli ya Southern Sun pamoja na Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa JNICC.
sisi wa Mandela na Kawawa tuendelee kugonga glass🥂
#KitengeUpdates
Wale mtakaobahatisha kufika mjini.Ukimanisha nini mkuu
Lipi stick tupakae kama yule bibi ni sawa,?Wale mtakaobahatisha kufika mjini.
Muwe mmevaa nadhifu na kujipaka uturi.
hapo itakuwa ngumulabda angani mkuu, mfano mtu anatoka Chanika anaelekea city centre atapita njia ipi nyingine ukiondoa Nyerere road
Ukiweza pia mkuu.Lipi stick tupakae kama yule bibi ni sawa,?
🤣Ukiweza pia mkuu.
Unanikumbusha mama Abdul na lipstick 💄💋Ukiweza pia mkuu.
Aisee mbna ni wapuuzi hvyo utakuta hapo ni mtu mmoja tu kalala kaamka ndo kaja na maamuzi hayo ya hovyoYaani hii moja tu ni tatizo. Watu wa Goms sijui wataendaje makazini.
Yaan as if kuna alternative. Mtu wa Goms unaendaje Kkoo-Posta? Uzunguke Mbagala Kigamboni? Au Tabata- Ubungo?huruma😂😂
Mkuu, yaani usumbufu utakao tokea iyo siku nadhani itakua historia. Tena hao Marais na Mawaziri wageni nadhani watakuja mida tofauti tofauti kwahiyo kuna uwezekano road ikafungwa siku nzima.Aisee sasa watu watapitia wapi
kwann wasifunge njia moja wakaruhusu njia nyingine itumike wakaacha watu wapite sasa unafunga njia MUHIMU kabisa na hakuna mkatisho unless upitie kinyerezi TABATA ukitokea GMBOTO atilist wangefunga kuanzia TAZARA kwenda CITY CENTRE kuna option za kupita kwa hiyo watu wa JETI wazungukie BUZA huko
na Gari za G/MBOTO TANDIKA zitapitia wapi ? tabata au zizungukie MWANAGATI
kwann wasingefunga labda kuanzia muda fulani mpk muda fulani hii barabara muhimu sana
katika MAISHA sikuwahi kuona ikifungwa hata kwa siku yote nzima
zaidi ya zille siku Kuompkea NYERERE alivyofariki na kipindi cha MARAISI wa marekani walivyokuja tena ilifungwa kwa masaa kadhaa kipindi waliyokuwa wanawasili na kuondoka
tuna VIONGOZI wa hovyo sana
Treni au unaambaa sambamba na reli ya kati unatokea buguruni, ilala kkoo hii hapa, tambuka taa mnazi mmoja chugua waenda wapi Barclays ya Ohio au pale Twin Tower?labda angani mkuu, mfano mtu anatoka Chanika anaelekea city centre atapita njia ipi nyingine ukiondoa Nyerere road
Mama yetu huyo.Unanikumbusha mama Abdul na lipstick 💄💋
acha tu mkuu wanguMkuu, yaani usumbufu utakao tokea iyo siku nadhani itakua historia. Tena hao Marais na Mawaziri wageni nadhani watakuja mida tofauti tofauti kwahiyo kuna uwezekano road ikafungwa siku nzima.