Dar: Basi la Burudani kutoka Korogwe Tanga, lapata ajali Mbezi

Dar: Basi la Burudani kutoka Korogwe Tanga, lapata ajali Mbezi

Watu kadhaa wanasadikiwa kupoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa, kufuatia ajali iliyotokea maeneo ya Mbezi Luguluni, ikihusisha Basi la kampuni ya Burudani, lililokuwa likitokeaa mkoani Tanga kuelekea Dar es Salaam, ambapo basi hilo linadaiwa kuwa lilikuwa kwenye mwendokasi, hivyo wakati likijaribu kulikwepa gari dogo lililokuwa linaingia barabarani, likapoteza mwelekeo na kuhamia upande wa pili wa barabara na kugonga daladala na bodaboda.
View attachment 2580842View attachment 2580843
* Nitakuwa wa mwisho kuamini kama Rais Samia ataendelea na Urais baada ya 2025*
 
Huo msitari wa mwisho ungeufuta tuuu maana ni none sense
ndio maana mnaitwa nyanyyy huko nchi za watu , chuki mbele kuliko uhalisia , ndio maana mnafurahi kuona mirad ya mzee inachezewa ili mseme alileta mirad isiyo na tija ila mirad hiyo sio ya familia yake wala ukoo wake ni ya watz wote mnaiferisha sababu ya uzinjanthropus mnaoulazimisha vichwan mwenu , HAPO HOJA NI KUWA SIKU HZ MABASI YA WASIASA AU WA KARIBU NA WANASIASA AU VIONGOZ HAYAJALI TENA TARATIBU ZA BARABARANI KISA HAKUNA WA KUWAFANYA LOLOTE TRAFIKI HAWAPO HURU SASA HV INABIDI NA WAO WALE NA KIPOFU TU , KWA KIZAZI KAMA CHAKO/CHENU HATUTANA TAIFA KWA MIAKA YA BAADAE
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kama Rais Samia ataendelea na Urais baada ya 2025
 
mabasi yanayofanya safari zake kati ya dar na lushoto tanga ni yakuogopa kabisa ,wewe gari inaenda na kurudi kwa burudani lilikua suala la mda tu ,bado kampuni nyingine yakuitwa KILUWA
 
Inapaswa itafutwe njia madhubuti ya kuyabana haya mabasi ya abiria ili kudhibiti mwendo Kasi,
Yanakimbia sana!!!
 
Hali hii itaendelea mpaka lini?..
R.I.P...na poleni sana majeruhi...
Narudia kiongozi mkuu wa Nchi asipokuwa ngangari suala hili halitaisha...
Sitakaa nimsahau JPM...Never!
Kwamba wakati ule hapakuwa na ajali?
Au saa hii angeshawaadhibu wahusika?
 
kwamba angewaambia watu msichote mafuta ? tumi akili muda mwingine
Tumia akili,mama angemuona wapi dereva,amwambie usiende mwendo wa kasi.Hilo gari la mafuta lilipata ajali kwanza,ndio wakaja kuchota mafuta.
 
Mama naye angemwambia dereva wa bus asiende kasi?Angemuona wapi akienda kasi.Tumia akili.
dah tuna watu ajabu sana , hujui kuwa mama ni kiongoz mkuu w serikalini ? wizara ya ulinzi ipo chini yake ambapo ndan kuna jeshi la polisi ndani kuna usalams barabarani , inamaana huon sasa hv trafiki barabaran wanataka buku 2 tu vitu vingine hawafuatilii ebu uwe unatembelea ata bbc swahili kuna "africa eye " pale utaona na kujifunza mdhara ya rushwa barabaran , Gari nying za abiria hazikaguliwi kabisa unaguta bus break inasumbua ila inaingizwa road , kipind cha hayatt kila taaasisi mambo yalikuwa kweny mstar labda kama ww ni mchoma mahindi ndio huon tofaut ya "past and now " au huend na wewe ni vyeti feki unataka kurudi kulamba asali
 
Back
Top Bottom