Dar: Basi la Burudani kutoka Korogwe Tanga, lapata ajali Mbezi

Dar: Basi la Burudani kutoka Korogwe Tanga, lapata ajali Mbezi

Tumia akili,mama angemuona wapi dereva,amwambie usiende mwendo wa kasi.Hilo gari la mafuta lilipata ajali kwanza,ndio wakaja kuchota mafuta.
Ficha umbumbuuu wako , Mam ni kiongoz mkuu wa muhimili wa serikali , sasa hv barabaran mkuu wa kituo hadi polisi wadogo wanaongozana asubui kwenda barabaran kuchukua buku 2 za wenye vyombo vya usafiri ( rushwa) haijaish kosa limerekebishwa au laah akipata buku 2 ndo hayo yanajiri , unahisi kama SSH amekalia kimya haya , ni baba yako ndo ataweza yakemea ? au ni U18 mwenzang , uelewa wako labda ni mdg?
 
Hali hii itaendelea mpaka lini?..
R.I.P...na poleni sana majeruhi...
Narudia kiongozi mkuu wa Nchi asipokuwa ngangari suala hili halitaisha...
Sitakaa nimsahau JPM...Never!
Kwa jins alivyokua akikushughulikia vizuri Tena ipasavyo.na ndio jamaa yako wa kwanza aliekufundisha ulr mchezo,..kwa kweli huwez kumsahau.
 
Huu ni ushenzi kabisa. Sababu ajali za uzembe wa dereva wa bus la burudani.
 
Kwa hii picha ilivyo heading isingekuwa hivyo ilivyo:


Wataalamu wa lugha wekeni heading vizuri


1680963244043.png
 
dah tuna watu ajabu sana , hujui kuwa mama ni kiongoz mkuu w serikalini ? wizara ya ulinzi ipo chini yake ambapo ndan kuna jeshi la polisi ndani kuna usalams barabarani , inamaana huon sasa hv trafiki barabaran wanataka buku 2 tu vitu vingine hawafuatilii ebu uwe unatembelea ata bbc swahili kuna "africa eye " pale utaona na kujifunza mdhara ya rushwa barabaran , Gari nying za abiria hazikaguliwi kabisa unaguta bus break inasumbua ila inaingizwa road , kipind cha hayatt kila taaasisi mambo yalikuwa kweny mstar labda kama ww ni mchoma mahindi ndio huon tofaut ya "past and now " au huend na wewe ni vyeti feki unataka kurudi kulamba asali
Hapa kosa ni la dereva,mjini,angepunguza speed.Dereva yoyote yule,anapokuwa katika chuo cha udereva,jambo la kwanza unalofundishwa ni:
Kila unayemuona barabarani,mhesabu ni mkichaa,uwe na tahadhari naye.
Barabarani kuna madereva wanafunzi,huwenda huo wa gari ndogo alikuwa ni mwanafunzi,ndio akaingia barabara kubwa ,bila tahadhari.
 
Serikali inapaswa kurasimisha kazi ya udereva na madereva wawe waajiriwa wenye mishahara, bima, NSSF nk.

Madereva wanaondesha malori na mabus ya abiria wawe na angalia minimum education Form four.

Mwanzo wa safari na mwisho wa safari dereva lazima apimwe pombe na hili anawajibika mmiliki wa bus, ikifanyina randomly check up barabarani na dereva akikutwa amelewa Kampuni inapigwa faini.

Police traffic wawe wanafanya randomly checks barabarani kupima speed na alcohol na majibu yanasoma straight to RTO na RPC na ikiwezekana IGP.

Kuwe na road patrol aka survey za mara kwa mara kila week zifanywe na police na tanroad na report ziandikwe kila week na ziende kwa RPC, RTO, na IGP + Waziri.

Baadhi ya barabara zilizo busy zifungwe Camera na controlling iwe inafanywa na speacial control huku report ikitumwa kila siku makao makuu copy RPC na RTO.

Ajali yeyote ya uzembe maana yake RTO, RPC warudishwe kusoma magazeti HQ, kampuni ya mabus itozwe faini kuubwa, Dereva akiwa hai anyang'anywe leseni na kuburuzwa mahakamani bila dhamana mpaka hukumu.

Ukaguzi wa mabus na malori uwe serious kila mkoa every week, magari yenye technical problem yazuiae kuendelea na safari mpaka matengenezo, na yaliyo na hali mbaya yapigwe stop..

WATENDAJI WENGI WA SERIKALI KATIKA NCHI HII WAMERELAX HAWANA NA HAWAJIPI MAJUKUMU NA WALA KUPEWA USIMAMIZI WA UHAKIKA MATOKEO YAKE NI UZEMBE KILA MAHALA
 
Kuna uhusiano wowote Kati ya ongezeko la ajali za barabarani na sikukuu za pasaka au mwisho wa mwaka?;
Upuuzi mtupu huyo jpm alikuwa anaendesha magari yote? Mbona hajazuia ajali ya kivuko kule mwanza? Siyo kila jambo ni siasa bhana.mkapa alikuwa kiongozi makini mbona ajali zilikuwepo za mv bukoba , tren nk?
Kamfukue uzikwe wewe
 
Upuuzi mtupu huyo jpm alikuwa anaendesha magari yote? Mbona hajazuia ajali ya kivuko kule mwanza? Siyo kila jambo ni siasa bhana.mkapa alikuwa kiongozi makini mbona ajali zilikuwepo za mv bukoba , tren nk?
Kamfukue uzikwe wewe
Siyo Mimi mkuu 😅 Kuna mtu hapo juu alikuwa anasema ajali za barabarani zimeongezeka baada ya Magufuli kufa
 
Walokufa ni wangapi?

Majeruhi ni wangapi?

Kwanini wanaficha taarifa Umma tuna haki ya kupewa taarifa sahihi.
 
Back
Top Bottom