Ficha umbumbuuu wako , Mam ni kiongoz mkuu wa muhimili wa serikali , sasa hv barabaran mkuu wa kituo hadi polisi wadogo wanaongozana asubui kwenda barabaran kuchukua buku 2 za wenye vyombo vya usafiri ( rushwa) haijaish kosa limerekebishwa au laah akipata buku 2 ndo hayo yanajiri , unahisi kama SSH amekalia kimya haya , ni baba yako ndo ataweza yakemea ? au ni U18 mwenzang , uelewa wako labda ni mdg?Tumia akili,mama angemuona wapi dereva,amwambie usiende mwendo wa kasi.Hilo gari la mafuta lilipata ajali kwanza,ndio wakaja kuchota mafuta.
Kwa jins alivyokua akikushughulikia vizuri Tena ipasavyo.na ndio jamaa yako wa kwanza aliekufundisha ulr mchezo,..kwa kweli huwez kumsahau.Hali hii itaendelea mpaka lini?..
R.I.P...na poleni sana majeruhi...
Narudia kiongozi mkuu wa Nchi asipokuwa ngangari suala hili halitaisha...
Sitakaa nimsahau JPM...Never!
Hapa kosa ni la dereva,mjini,angepunguza speed.Dereva yoyote yule,anapokuwa katika chuo cha udereva,jambo la kwanza unalofundishwa ni:dah tuna watu ajabu sana , hujui kuwa mama ni kiongoz mkuu w serikalini ? wizara ya ulinzi ipo chini yake ambapo ndan kuna jeshi la polisi ndani kuna usalams barabarani , inamaana huon sasa hv trafiki barabaran wanataka buku 2 tu vitu vingine hawafuatilii ebu uwe unatembelea ata bbc swahili kuna "africa eye " pale utaona na kujifunza mdhara ya rushwa barabaran , Gari nying za abiria hazikaguliwi kabisa unaguta bus break inasumbua ila inaingizwa road , kipind cha hayatt kila taaasisi mambo yalikuwa kweny mstar labda kama ww ni mchoma mahindi ndio huon tofaut ya "past and now " au huend na wewe ni vyeti feki unataka kurudi kulamba asali
Upuuzi mtupu huyo jpm alikuwa anaendesha magari yote? Mbona hajazuia ajali ya kivuko kule mwanza? Siyo kila jambo ni siasa bhana.mkapa alikuwa kiongozi makini mbona ajali zilikuwepo za mv bukoba , tren nk?Kuna uhusiano wowote Kati ya ongezeko la ajali za barabarani na sikukuu za pasaka au mwisho wa mwaka?;
Siyo Mimi mkuu 😅 Kuna mtu hapo juu alikuwa anasema ajali za barabarani zimeongezeka baada ya Magufuli kufaUpuuzi mtupu huyo jpm alikuwa anaendesha magari yote? Mbona hajazuia ajali ya kivuko kule mwanza? Siyo kila jambo ni siasa bhana.mkapa alikuwa kiongozi makini mbona ajali zilikuwepo za mv bukoba , tren nk?
Kamfukue uzikwe wewe
Ataendelea kama kawaida,kwani yeye alimwambia dereva aendeshe mwendo kasi?Tumia akili.