Dar Coach wazidi kushusha bei zao za uundaji body za mabasi

Jiandae na fine kwenye mizani kila siku, maana baada ya mseto huo wote linazaliwa lidude moja lizitooo... Ila imara sana!!
 
$217,000 × 2230= Tshs 483,910,000.

Muwe mna acha Ujinga.
Hilo ni Bas au Bombadier ya Magufuri?
Nimeona hii kitu nikawa nafikiria bila kupata majibu yaani bus moja ni tshs.484milioni!? ASA utapata faida kweli!? Labda kama walikosea hizo figure
 
Nimeona hii kitu nikawa nafikiria bila kupata majibu yaani bus moja ni tshs.484milioni!? ASA utapata faida kweli!? Labda kama walikosea hizo figure
Kweli watu mpo gizani, hapa hapa Tanzania ubungo hapo kuna bus za milion mia 7 unasema bei hiyo? Hivi unafikiri zile Marcopolo za Abood na Hood walinunua sh ngapi? Milion mia 5 na kitu, ila guarantee yake ni miaka 10.. Msione vyuma vya watu vipo road mkachukulia poa! Unazungumzia faida? Unajua scania r au g mpya ya kwenye makaratasi inauzwa bei zaidi ya hiyo iliyotajwa kwenye haya mabus? Hapo ni horse tu hujagusa trailer? Hiyo ni bei ya kawaida sana Mkuu.
 
Nyinyi ccm ndio mmesababishi hizi chuki mkae kimya kabisa
 
Mkuu mm si mjuz sana wa haya mambo ila nisikiavyo 300 unapata bas jipya zongtong
 
Engine wanakufungia mpya inayokuja na gearbox na diff yake ndio maana hiyo bei imechangamka hivyo! Ingekua ni engine ya mtumba isingekua bei kubwa hivyo, si inajua engine ya mtumba ya scania unaweza kupata hata kwa less than 12mil.
Ok halafu nadhan engine za mabas hiz hata kama ni scania naona kama bas linachnganya upesi kuliko scania ya mzigo kuna udambwidambwi wanaufanya nn?
 
Ok halafu nadhan engine za mabas hiz hata kama ni scania naona kama bas linachnganya upesi kuliko scania ya mzigo kuna udambwidambwi wanaufanya nn?
Mkuu engine za kwenye bus nyingi yazo ni 90 series, mpaka sasa wanatoa hizi 95 mpya kama ambazo wamezitangaza kwenye huu uzi, kinachofanyika ni kile kile ingawa wengine wanasemaga mambo ya kubana pump ila kuchanganya haraka ni kwamba ile engine inaweza kubeba tani 15 mpaka 20 hivi, ila likipakia abiria na mizigo yao inakua na kama tani 8 au pungufu, so gari inakua nyepesi sana hata gear hazichukui muda kuchanganya!

Halafu kwenye roli mara nyingi tunafunga fuse ya speed, angalau kwenye 90kph, ikifika hapo inakata, ila kwenye bus wanaitoa hii so dereva anaendesha mpaka anagotesha mshale mwisho.

Halafu bus nyingi zinakua na gear 8au 10 wakati roli nyingi kubwa ukitoa hizo 90 series zinakua na gear 10,12, au 16 kabisa kwahiyo gari yenye gear nyingi hivyo mpaka ichanganye ni tofauti na huyu wa gear chache, hata ukianza kuzivua hizo gear kwenye mlima ni tofauti na dereva wa bus.

Kingine ni udereva tu Mkuu ndo unaleta huo udambwidambwi, mimi nina madereva ambao wanatoka kwenye maroli na kwenda kwenye mabus na wengine wanafanya viceversa, mfano nina madereva nilikua nao kwenye maroli ila saivi wapo Newforce, Hood, Imo na NBS,.. So hapo ni udereva tu.

Dereva wa roli hawezi kuendesha kama bus maana litamuua, kusimama na roli lilikua 100kph na mzigo wa tani 30 mgongoni ni ngumu ukilinganisha na bus la Abiria 55..
 
Jiandae na fine kwenye mizani kila siku, maana baada ya mseto huo wote linazaliwa lidude moja lizitooo... Ila imara sana!!
Kuna zile champion za dom duh kitu kinakula abiria 70+
Local made
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…