Dar: Conrad Agonza Kayoza aliyeshambuliwa na Trafiki, kufikishwa mahakama ya Kinondoni leo


Angeondokaje wakati funguo za gari zimechukuliwa na huyo askari?

Nakubaliana na wewe maamuzi ya daktari huenda yangeweza kua bora zaidi ya hichi kilichotokea. Hawa askari hua wanapandisha ghadhabu sana.

Mwaka jana December nilikua nawaambia andika faini, ukijibizana nao unawezaingia matatani.

Hata hivyo kama anapelekwa mahakamani, anaweza kushinda kesi.
 
Hizi rushwa ni aibu kwa jeshi la polisi ,ni wananjaa vibaya sana,siungemuandikia faini atalipa baadae
 
Kosa lake lina dhamana na huko mahakamani akishindwa kesi adhabu kifungo au faini,angekua hoe hoe kama ww chawa ndio ungeisoma namba,"jamani tusome" in dotto magari voice
 
Wewe unamtetea askari sababu unataka kutetea jeshi la polisi hujataka kujua story behind sasa kesi ipo mahakamani tutajua story behind ni kwanini daktari alipoteza reasoning akarisk career yake na kumshambulia askari aliye na uniform akiwa kazini.
binafsi hua simtetei mkiuka sheria yeyote, kumuonea haya wala aibu
 
Yes,
huyo jambazi aliemshambulia afisa wa usalama barabarani na kisha nae kushambuliwa na wananchi right?

sina haja ya kutetea mkiuka sheria gentleman
IPO SIKU usiiijua yatakukuta makubwa shetani Hana rafiki haijalishi wewe umewakatia Sana viuno hao wapenda rushwa wa ccm endelea kuyatumikia tu hayo majambazi ya lumumba #nakazia shetani Hana rafiki.
 
ni maoni yangu huru tu gentleman kadiri nionavyo hoja ilivyo ama?
COmrade, sku za hivi karibuni pia umekuwa mpole sana kwa namna unavyochangia nyuzi/mijadala mbalimbali hapa JF....

Hatujakuzoea hivi Comrade,....haya mabadiliko yatakuwa yamechagizwa na kitu ama jambo gani?
 
binafsi hua simtetei mkiuka sheria yeyote, kumuonea haya wala aibu
Sheria zipo na adhabu zipo sababu wavunjaji wapo ndo maana tuna mahakama.

Unaweza kuta hapo unatetea mtu anayetaka rushwa kwa mzalendo aliyevunja sheria kutokana na hasira ya kuichukia rushwa.
 
Ninavyoijua familia ya Mwalimu Msitaafu na diwani Msitaafu Mzee Kahyoza pale katani kwetu kishanda, Muleba sio rahisi kwamba anaweza ozea gerezani Man.

Hii ni moja ya familia nzito sana pale kijijini kwetu kabulala. Mother yake amekuwa mwalimu wangu wa hisabati na uraia pale skuli kwetu Ganyamkanda sm miaka hiyo ya 2010.

Hao watoto waliamua mama yao asitaafu ualimu hata kabla ya muda sababu shekeli Ipo, so sio rahisi kusema ataozea gerezan jirani yangu Conrad.
Mzee ana Ng'ombe kwa tathimin ya haraka hakuna mwenye zizi kubwa kama lake pale killage.

Ana Mashamba lukuki ya ndizi aina ya nshakala, na ndizi ya kwenda kuuzaa kama TSH 30k mkungu kwa maeneo ya dsm na mwanza akikata shamba Moja tu uwezo wa kujaza fuso zima anao na ana mashamba ya uhakika.

So sio familia lialia wala njaa njaa.
 
Acha upuuzi we mbwa koko, hizo taarifa za kuchomoa ufunguo na kuwahi operation umeiokoteza wapi? Wapumbavu tu nyie nyumbu hamuwezi kushindana na jeshi la polisi. Huyo daktari gani mzembe asiyeweza kupangilia ratiba yake, kwa hiyo avunje sheria za barabarani kisa amechelewa operation? Angepanda AMBULANCE. Acha kujaenga hoja za kipuuzi
 
COmrade, sku za hivi karibuni pia umekuwa mpole sana kwa namna unavyochangia nyuzi/mijadala mbalimbali hapa JF....

Hatujakuzoea hivi Comrade,....haya mabadiliko yatakuwa yamechagizwa na kitu ama jambo gani?
politics is dynamic in nature gentleman.

sijawahi kua mpole, sijawahi kua mnyonge na kabisa sijawahi kua mkali jukwaani tangu nijiunge JF, na sidhani ikiwa naweza kua katika hali hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…