Dar: Conrad Agonza Kayoza aliyeshambuliwa na Trafiki, kufikishwa mahakama ya Kinondoni leo

Unadhani kwanini Daktari aamue kuweka carrier yake rehani na kufanya jinai ya kupigana na askari? Askari yeye hawezi kuwa mhalifu?
 
Sheria zipo na adhabu zipo sababu wavunjaji wapo ndo maana tuna mahakama.

Unaweza kuta hapo unatetea mtu anayetaka rushwa kwa mzalendo aliyevunja sheria kutokana na hasira ya kuichukia rushwa.
Yes,
wakiuka sheria wapelekwe mahakamani, na hata wakipiga mayowe na kutia huruma wahukumiwe sawasawa na makosa yao bila huruma wala kuwaonea haya
 
Yes,
wakiuka sheria wapelekwe mahakamani, na hata wakipiga mayowe na kutia huruma wahukumiwe sawasawa na makosa yao bila huruma wala kuwaonea haya
Hiyo si kwa daktari tu, hata huyo askari kama alifanya jinai ikapelekea hasira na hatimaye ugomvi anastahili haki yake.
 
Kwani wewe ni jeshi la polisi men maana unabweka na kutoa udenda kama mbwa wao?😃
 

Watekeleza Sheria wao wako juu ya Sheria?!kwanini wamempiga na kumuumiza vibaya dakitari bingwa?
 
Mashujaa kama hawa wanahitaji pongezi. Jeshi la polisi limeoza. Kuanzia rushwa, kuua watuhumiwa na raia wema, kubambikia raia kesi, kuisaidia ccm kuiba kura, nk.

Kwa ufupi muda wa kulifumua jeshi la polisi ni sasa! Kama ilivyo kwa katiba na tume ya uchaguzi.
 
Specialist anasomea miaka mingapi?Maana kuna poti kaniambia lazima huyo dr anyooshwe hadi ajute na akawa anasema kumtengeneza polisi barabarani ina mchukua miaka tisa kusomea namna ya kushughulika na watu wote pamoja na watukutu.
 
Atafungua dispensary yake, sio lazima aajiriwe. Kila mtu anajua athari za kujitoa muhanga lakini haya mamno ili yaishe lazima wachache wakubali hizo shuruba. Bila shaka hata huyu trafiki hawezi tena kurudia tabia yake ya kufokea watu wazima kama watoto na kuchomoa funguo ya gari. Polisi nao wajue binadamu sisi kama walivyo wanyama wengine. Tukifika mwisho wa uvumilivu akili ina-activate jungle mood.

Kingine cha kukiangalia hapa ni wabongo wanavyosogea hatua kwa hatua kukata ile dhana uliyoaminika kwamba ni waoga. Tulianza na maandamano. Wabongo kunguru hakuna atakaetoka watu walitoka. Wakapigwa risasi. Sasa hivi yakiitishwa maandamano polisi wanatumika kutoa vitisho. Dokta kagoa somo hawa jamaa 1 vs 1 hawana kitu. Imebaki hatua moja tu, nayo ni raia kupata silaha za moto
 
Ila kina Bishanga kwa mataizi?? Hapa ilibidi tujue daktari ni jirani yako bush 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…