RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Kamsome niliemjibu.Maswali sii kuwa nani alitekwa na nani ila kwanini utekaji ni zaidi wakati fululani na katika nyakati fulani na akiwepo fulani au fulani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamsome niliemjibu.Maswali sii kuwa nani alitekwa na nani ila kwanini utekaji ni zaidi wakati fululani na katika nyakati fulani na akiwepo fulani au fulani?
Awamu ya Nne . Rejea kwa Ulimboka .Hii nchi ina mambo ya kijinga sana. Huu upumbavu wa kutekana na kuuana ulianzishwa na Magufuli.
Ngoja tu mwombe PRondo atusaidie majibunimeuliza huyo danstan anafanya shuguli gani!
Je ni mfanyabiashara au ni mwanaharakati..naona sipati majibu
Ova
Umenena vema mkuu. Nakubaliana na wewe 💯 %Awamu ya Nne . Rejea kwa Ulimboka .
Ubinafsi ,uchu wa madaraka na kutafuta mali kupitia madaraka na teuzi ni kamba ya kunyongwa watu wema katika nchi hii.
JPM alikua Mzalendo wa kweli .Uadui dhidi yake ulikua ndani na nje ya nchi .
Kwa hiyo wakati mwingine alikua anapotoshwa kuwa fulani ni adui tuachie tumshughulikie . Kumbe WATU wanatafuta maslahi yao.
Yote kwa yote tunahitaji kiongozi atakayesimamia sheria zetu kwa haki.
Kama mtu ni mhalifu basi akamatwe kisheria na afikishwe mahakamani kama ni kunyongwa anyongwe lakini sio kutafutia WATU dhambi za kuua watu wasio na hatia . Magenge yote ya watekaji yanapaswa kuondolewa na kuchunguzwa hata mali wanazomiliki kwa sababu wakati mwingine ni maslahi binafsi ya kunyanganya WATU pesa zao kwa nguvu.
Ni wazi tunahitaji kiongozi anayeamini katika utawala wa Haki na kufuata sheria na atakayekemea wale wote wanaokiuka sheria iwe ni watawala au wananchi .
Huyu sio mwingine ni Tundu Antipas Lisu.
Lisu kamwe hawezi kukubaliana na watu kujichukulia sheria mikononi .
haikuwa fumanizi, siamini kama kutakuwa na picha.Bodaboda wakawa wanapiga picha?
Badala ya kutoa msaada, afu Buza sasa wanakosema kuna vijana shupavu.Bodaboda wakawa wanapiga picha?
Hakuna kitu kibaya katika utawala kama kutengeneza special force au kikundi fulani ambacho kwenye makaratasi hakipo na kinawajibika kwa rais tu japo vyombo vingine vinakuwa vinajua uwepo wake na hawana meno wa kukicontrol.Kwaiyo bado anaendeleza akiwa kaburini? Au bado Rais wa nchi ni yeye?
Au unataka kusema nchi haina Rais?
Ni mtumishi wa umma,elewa hivyo tu kwa sasa!nimeuliza huyo danstan anafanya shuguli gani!
Je ni mfanyabiashara au ni mwanaharakati..naona sipati majibu
Ova
Huyo ni mwanasiasa, au?Nimepokea taarifa usiku huu kutoka kijijini Kishanje, Bugabo Bukoba, akitaarifu kutekwa kwa kijana Danstan Daudi Mutajura (pichani juu) anayefanya kazi Jijini Dar es Salaam.
Dastan ametekwa jana majira ya saa 4 asubuhi maeneo ya Sigara, TANESCO, Buza Jijini Dar es Salaam wakati akienda kazini kwake akitokea nyumbani kwake eneo la Kitunda, Jijini Dar es Salaam.
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Dastan ametekwa na WATU WASIOJUKIKANA baada ya gari alilokuwa akiendesha (T.109 DYV) aina ya Mercedes Benz C300 kuzuiwa kwa mbele na gari la watekaji.
Baadaye gari la Danstan liliokotwa na kupelekwa Kituo cha Kidogo cha Polisi cha Buza na kuandikishwa kama MALI YA KUOKOTWA RB NO. BZA/RB/53/2025
Madereva wa bodaboda walioshugudia tukio hilo wamesema Danstan alinyofolewa kutoka kwenye gari lake na kufungwa Kitambaa usoni akilalamika kuwa alikuwa akitekwa.
View attachment 3192960
utekaji tena.Nimepokea taarifa usiku huu kutoka kijijini Kishanje, Bugabo Bukoba, akitaarifu kutekwa kwa kijana Danstan Daudi Mutajura (pichani juu) anayefanya kazi Jijini Dar es Salaam.
Dastan ametekwa jana majira ya saa 4 asubuhi maeneo ya Sigara, TANESCO, Buza Jijini Dar es Salaam wakati akienda kazini kwake akitokea nyumbani kwake eneo la Kitunda, Jijini Dar es Salaam.
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Dastan ametekwa na WATU WASIOJUKIKANA baada ya gari alilokuwa akiendesha (T.109 DYV) aina ya Mercedes Benz C300 kuzuiwa kwa mbele na gari la watekaji.
Baadaye gari la Danstan liliokotwa na kupelekwa Kituo cha Kidogo cha Polisi cha Buza na kuandikishwa kama MALI YA KUOKOTWA RB NO. BZA/RB/53/2025
Madereva wa bodaboda walioshugudia tukio hilo wamesema Danstan alinyofolewa kutoka kwenye gari lake na kufungwa Kitambaa usoni akilalamika kuwa alikuwa akitekwa.
View attachment 3192960
Inawezekana,maana kauli yake kutoa katazo na ufuatiliaji wa watekaji na kutiwa hatiani utaonyesha uimara wake kama mkuu wa nchiKwaiyo bado anaendeleza akiwa kaburini? Au bado Rais wa nchi ni yeye?
Au unataka kusema nchi haina Rais?
labda kila mwananchi akabidhiwe bunduki ya kujilindaWewe utafanya nini? Kwanza kitendo cha haraka, mnakuwa na mshtuko mnajiuliza hawa vipi? Mara kashaingizwa kwenye gari. Halafu wanakuwa na silaha utawafanya nini? Utapigwa risasi kwa kuingilia visivyokuhusu.
Kabisaa,hii akili alipaswa kuitumia na nashindwa kuelewa kwanini ali unlock milango,Kundii baya sanaa hiloo
..ukute huyu wakili wa Boni Yai au anasaidia CDM huko.....shidaaaa....asingefungua mlango wa gariii
Halafu mlivyo wapumbavu mnaendeleza. Dr. Ulimboka alitekwa na nani?Hii nchi ina mambo ya kijinga sana. Huu upumbavu wa kutekana na kuuana ulianzishwa na Magufuli.
Wakati zuchu anarusha maji yake kwa diamond.......Sijui watamrusha akiwa hai au la, ila ninachojua haya mambo hayawezi kuisha kwa kulalamika tu.
Mbunge tunamlalamikia Jimboni hakuna maji yeye kamleta Zuchu
Kikwete alikuwa anateka tu bila kuua. Magufuli alikuwa anateka na kuua.Halafu mlivyo wapumbavu mnaendeleza. Dr. Ulimboka alitekwa na nani?