heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Sasa ni muda wa kufungwa gps
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamuulize Dr. Ulimboka atakuambia. Nyie madogo hamjui hayo mambo. Uliza Stan Katabalo ni nani na ilikuaje akauawa na Utawala gani.Kikwete alikuwa anateka tu bila kuua. Magufuli alikuwa anateka na kuua.
Roma aliimba, "kutekana tekana ni mambo ya kishamba". Ni ushamba na ujima wa hali ya juu kuendekeza mambo ya kutekana tekana zama hizi. Inakera sana!! Nchi hii haina sheria?! Mtu kama kavunja sheria si akamatwe na kushtakiwa kwa mujibu wa sheria!. SSH hata kama hatoi maagizo haya, haya mambo yanamchafua sana! Hawezi kujitenga na huu utekaji.Nimepokea taarifa usiku huu kutoka kijijini Kishanje, Bugabo Bukoba, akitaarifu kutekwa kwa kijana Danstan Daudi Mutajura (pichani juu) anayefanya kazi Jijini Dar es Salaam.
Dastan ametekwa jana majira ya saa 4 asubuhi maeneo ya Sigara, TANESCO, Buza Jijini Dar es Salaam wakati akienda kazini kwake akitokea nyumbani kwake eneo la Kitunda, Jijini Dar es Salaam.
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Dastan ametekwa na WATU WASIOJUKIKANA baada ya gari alilokuwa akiendesha (T.109 DYV) aina ya Mercedes Benz C300 kuzuiwa kwa mbele na gari la watekaji.
Baadaye gari la Danstan liliokotwa na kupelekwa Kituo cha Kidogo cha Polisi cha Buza na kuandikishwa kama MALI YA KUOKOTWA RB NO. BZA/RB/53/2025
Madereva wa bodaboda walioshugudia tukio hilo wamesema Danstan alinyofolewa kutoka kwenye gari lake na kufungwa Kitambaa usoni akilalamika kuwa alikuwa akitekwa.
View attachment 3192960
Hao wetekaji wanajituma wenyewe kuteka? Hao wanaowatuma/waagiza wanafanya kwa utashi wao tu kwa kujisikia tu? Hakuna chain of command katika nchi hii?Suala la Kudhibiti utekaji na Watekaji siyo kazi rahisi hata kidogo kama unavyofikiri, Kumbuka, hao Watekaji ni Watu Wabobevu na Wataalamu wakubwa kwenye kazi hizo za Kuteka Watu, wamesomea darasani na kupata Mafunzo ya Umahiri kuhusiana na shughuli hizo za Utekaji ( Professional Abductors/Kidnappers). Zinahitajika nguvu kubwa sana na za ziada pamoja na Wananchi kuwa tayari kujitolea muhanga ili kupambana na hao Watekaji sambamba na kuvikomesha kabisa vitendo hivyo vya utekaji na Watekaji wenyewe.
Narudia tena kusema, kudhibiti Watekaji siyo kazi rahisi hata kidogo.
Onhoo!! Mawazo yangu tu, usije ukaishi nayo.Oya wee sema tena tema mate chini
Ni mtumishi wa umma huyo mkuu,lakini ukiitazama vizuri hiyo picha yake unaweza kuokota taarifa zaidi maana picha inajaribu kusema kitu!Huyo ni mwanasiasa, au?
Hao bodaboda walitoa msaada gani wakati huyo Dastan analia kweamba anatekwa?Nimepokea taarifa usiku huu kutoka kijijini Kishanje, Bugabo Bukoba, akitaarifu kutekwa kwa kijana Danstan Daudi Mutajura (pichani juu) anayefanya kazi Jijini Dar es Salaam.
Dastan ametekwa jana majira ya saa 4 asubuhi maeneo ya Sigara, TANESCO, Buza Jijini Dar es Salaam wakati akienda kazini kwake akitokea nyumbani kwake eneo la Kitunda, Jijini Dar es Salaam.
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Dastan ametekwa na WATU WASIOJUKIKANA baada ya gari alilokuwa akiendesha (T.109 DYV) aina ya Mercedes Benz C300 kuzuiwa kwa mbele na gari la watekaji.
Baadaye gari la Danstan liliokotwa na kupelekwa Kituo cha Kidogo cha Polisi cha Buza na kuandikishwa kama MALI YA KUOKOTWA RB NO. BZA/RB/53/2025
Madereva wa bodaboda walioshugudia tukio hilo wamesema Danstan alinyofolewa kutoka kwenye gari lake na kufungwa Kitambaa usoni akilalamika kuwa alikuwa akitekwa.
View attachment 3192960
Achana ma mtu aliejipumzikia zake, tupambane na watekaji..Hii nchi ina mambo ya kijinga sana. Huu upumbavu wa kutekana na kuuana ulianzishwa na Magufuli.
Bodaboda inamaanisha walikuwa wanaangalia tu wakati mtu anatekwa, bora wakae kimya wasiongee chochote manake wanatia kichefuchefu, no wonder kuitwa mwanaume wa Dar imekuwa na tafsiri ya kuwa mwanaume 'shosti'.Nimepokea taarifa usiku huu kutoka kijijini Kishanje, Bugabo Bukoba, akitaarifu kutekwa kwa kijana Danstan Daudi Mutajura (pichani juu) anayefanya kazi Jijini Dar es Salaam.
Dastan ametekwa jana majira ya saa 4 asubuhi maeneo ya Sigara, TANESCO, Buza Jijini Dar es Salaam wakati akienda kazini kwake akitokea nyumbani kwake eneo la Kitunda, Jijini Dar es Salaam.
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Dastan ametekwa na WATU WASIOJUKIKANA baada ya gari alilokuwa akiendesha (T.109 DYV) aina ya Mercedes Benz C300 kuzuiwa kwa mbele na gari la watekaji.
Baadaye gari la Danstan liliokotwa na kupelekwa Kituo cha Kidogo cha Polisi cha Buza na kuandikishwa kama MALI YA KUOKOTWA RB NO. BZA/RB/53/2025
Madereva wa bodaboda walioshugudia tukio hilo wamesema Danstan alinyofolewa kutoka kwenye gari lake na kufungwa Kitambaa usoni akilalamika kuwa alikuwa akitekwa.
View attachment 3192960
Yeye ndiye aliyenzisha haya magenge ya utekaji na uuaji. Ulitaka afe nayo mkuu?Achana ma mtu aliejipumzikia zake, tupambane na watekaji..
Kwa mimi labda wakati naingia au natoka kwenye gari, njiani labda wavunje vioo au wapige 'ngunju'. The car should be locked all the time, you hoot a horn to draw people's attention and make scene. Labda wakubutue risasi ukiwa ndani ya gari.Suala la Kudhibiti utekaji na Watekaji siyo kazi rahisi hata kidogo kama unavyofikiri, Kumbuka, hao Watekaji ni Watu Wabobevu na Wataalamu wakubwa kwenye kazi hizo za Kuteka Watu, wamesomea darasani na kupata Mafunzo ya Umahiri kuhusiana na shughuli hizo za Utekaji ( Professional Abductors/Kidnappers). Zinahitajika nguvu kubwa sana na za ziada pamoja na Wananchi kuwa tayari kujitolea muhanga ili kupambana na hao Watekaji sambamba na kuvikomesha kabisa vitendo hivyo vya utekaji na Watekaji wenyewe.
Narudia tena kusema, kudhibiti Watekaji siyo kazi rahisi hata kidogo.
Wakati Dr Ulimbokwa anatekwa na watu usalama wa viongozi, rais wa wakati huo alikuwa bwana Kikwete. Hence utekaji haujaanza wakati wa Magufuli.Hii nchi ina mambo ya kijinga sana. Huu upumbavu wa kutekana na kuuana ulianzishwa na Magufuli.
Tanzania hakuna utekaji wa kutaka ransom, ni watu wa TISS na kitengo maalum ndani ya polisi ndiyo huusika na utekaji. The 'protected' motherfvckers na ndiyo maana huwa wanateka openly kwa kujiamini sana, wangeshambuliwa na kuuawa ungesikia ni TRA or anything else similar to that kwamba waliowauwa wakamatwe(na wangekamatwa tu) na blah blah blah blahs kibao kuhalalisha utekaji na uuaji.Kutekana kwa ransom au sababu zingine zozote ni aina ya ujambazi unaosambaa kwenye miji mikubwa.Kwa Dar es salaam bado linaonekana jambo geni.
Nairobi imekuwa jambo linalosumbua vyombo vya usalama na mpaka mwishoni wa mwaka 2024 watu 85 wametekwa na baadhi yao kuuwawa.Imekuwa jambo la kawaida wafanyabiashara na watu watu mashuhuri kuwa na, walinzi binafsi.
Johanessburg utekaji na car jacking ni maisha ya kila siku kwa wakazi wa Jiji hilo.
Polisi lazima waanze kufanya kazi ya kuzuia hii hali isiendelee kabla ya kuzoeleka na kuwa sehemu ya maisha.
Anafanya kazi gani?Ni mtumishi wa umma huyo mkuu,lakini ukiitazama vizuri hiyo picha yake unaweza kuokota taarifa zaidi maana picha inajaribu kusema kitu!