John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
100% TRUE.Tanzania hakuna utekaji wa kutaka ransom, ni watu wa TISS na kitengo maalum ndani ya polisi ndiyo huusika na utekaji. The 'protected' motherfvckers na ndiyo maana huwa wanateka openly kwa kujiamini sana, wangeshambuliwa na kuuawa ungesikia ni TRA or anything else similar to that kwamba waliowauwa wakamatwe(na wangekamatwa tu) na blah blah blah blahs kibao kuhalalisha utekaji na uuaji.
Watekaji wakiwa ni watu wa nje ya 'system' polisi watapiga kelele mpaka msemaji wa polisi ataitisha press conference possibly hata mkuu wa polisi wa kanda maalum ataongea na viongozi wa serikali wanaweza kupaza sauti pia, ila kama ni wao linapita kimyakimya.Kipindi cha nyuma humu nilishawahi kusema,haya mambo ya utekaji yanayofanywa na watu wa mfumo...kuna watu nao wataanza kupita na upepo wake
Nao watatumia njia hizo hizo kuteka
Ova
How do you know that au wewe ni 'mfalme njozi'?.Awamu ya Nne . Rejea kwa Ulimboka .
Ubinafsi ,uchu wa madaraka na kutafuta mali kupitia madaraka na teuzi ni kamba ya kunyongwa watu wema katika nchi hii.
JPM alikua Mzalendo wa kweli .Uadui dhidi yake ulikua ndani na nje ya nchi .
Kwa hiyo wakati mwingine alikua anapotoshwa kuwa fulani ni adui tuachie tumshughulikie . Kumbe WATU wanatafuta maslahi yao.
Yote kwa yote tunahitaji kiongozi atakayesimamia sheria zetu kwa haki.
Kama mtu ni mhalifu basi akamatwe kisheria na afikishwe mahakamani kama ni kunyongwa anyongwe lakini sio kutafutia WATU dhambi za kuua watu wasio na hatia . Magenge yote ya watekaji yanapaswa kuondolewa na kuchunguzwa hata mali wanazomiliki kwa sababu wakati mwingine ni maslahi binafsi ya kunyanganya WATU pesa zao kwa nguvu.
Ni wazi tunahitaji kiongozi anayeamini katika utawala wa Haki na kufuata sheria na atakayekemea wale wote wanaokiuka sheria iwe ni watawala au wananchi .
Huyu sio mwingine ni Tundu Antipas Lisu.
Lisu kamwe hawezi kukubaliana na watu kujichukulia sheria mikononi .
Unakumbuka alilekwa yule binti wa kiarabu msasani peninsulaTanzania hakuna utekaji wa kutaka ransom, ni watu wa TISS na kitengo maalum ndani ya polisi ndiyo huusika na utekaji. The 'protected' motherfvckers na ndiyo maana huwa wanateka openly kwa kujiamini sana, wangeshambuliwa na kuuawa ungesikia ni TRA or anything else similar to that kwamba waliowauwa wakamatwe(na wangekamatwa tu) na blah blah blah blahs kibao kuhalalisha utekaji na uuaji.
100% True.Watekaji wakiwa ni watu wa nje ya 'system' polisi watapiga kelele mpaka msemaji wa polisi ataitisha press conference possibly hata mkuu wa polisi wa kanda maalum ataongea na viongozi wa serikali wanaweza kupaza sauti pia, ila kama ni wao linapita kimyakimya.
Sasa yule jamaa wa kilivya syo mwanaharakati wala hajihusishi na siasa,lakini watu walitaka kumteka!ukweli anaujuwa yeye100% True.
Wewe jaribu kufikiria, ni kwa nini wale watekaji waliojaribu kumteka yule Mfanyabiashara kule Kiluvya hadi leo hawajakamatwa na Wala Majina yao wale wahalifu hayawahi kutajwa hadharani mpaka leo licha ya kwamba picha zao zipo wazi kabisa zinaonyesha sura zao? Mfano huyu hapa kwenye picha hapa chini, kwa nini Jeshi la Polisi halitaki kuweka wazi utambulisho wa huyu mhalifu anayeonekana kwenye picha hapa chini?
Hata aliechagua hiyo picha kuweka kwa hii taarifa amedhamiria tuelewe hapo…Ni mtumishi wa umma huyo mkuu,lakini ukiitazama vizuri hiyo picha yake unaweza kuokota taarifa zaidi maana picha inajaribu kusema kitu!
Afisa Mwandamizi Idara ya MadiniAnafanya kazi gani?
Kumbuka, hata marehemu Leopold Rwajabe naye pia alikuwa Mtumishi wa Umma katika Wizara ya Fedha.
Yule jamaa Anaweza asiwe Mwanasiasa Active huko kwenye majukwaa ya kisiasa ya mihadhara ya watu, lakini Anaweza kuwa Mwanasiasa Machachari Sana kwenye ulingo wa siasa za ndani za chama au hata humu mtandaoni.Sasa yule jamaa wa kilivya syo mwanaharakati wala hajihusishi na siasa,lakini watu walitaka kumteka!ukweli anaujuwa yeye
Hata kesi yenyewe ukifatilia haielezi motive ya watekaji ni nini!
Ila kwa wenye jicho la tatu washajua kuwa ni masuala ya pesa tu
Ova
Ana Cheo gani huko?Afisa Mwandamizi Idara ya Madini
Huo ni wizi 😂Gari limeokotwa?
Hivi kuokota mali ni kosa kisheria Yaani mfano nikiokota kuku wa jirani nikamla bila kuripoti popote ni kosa?
Tanzania hakuna utekaji wa kutaka ransom, ni watu wa TISS na kitengo maalum ndani ya polisi ndiyo huusika na utekaji. The 'protected' motherfvckers na ndiyo maana huwa wanateka openly kwa kujiamini sana, wangeshambuliwa na kuuawa ungesikia ni TRA or anything else similar to that kwamba waliowauwa wakamatwe(na wangekamatwa tu) na blah blah blah blahs kibao kuhalalisha utekaji na uuaji.
Nimepokea taarifa usiku huu kutoka kijijini Kishanje, Bugabo Bukoba, akitaarifu kutekwa kwa kijana Danstan Daudi Mutajura (pichani juu) anayefanya kazi Jijini Dar es Salaam.
Dastan ametekwa jana majira ya saa 4 asubuhi maeneo ya Sigara, TANESCO, Buza Jijini Dar es Salaam wakati akienda kazini kwake akitokea nyumbani kwake eneo la Kitunda, Jijini Dar es Salaam.
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Dastan ametekwa na WATU WASIOJUKIKANA baada ya gari alilokuwa akiendesha (T.109 DYV) aina ya Mercedes Benz C300 kuzuiwa kwa mbele na gari la watekaji.
Baadaye gari la Danstan liliokotwa na kupelekwa Kituo cha Kidogo cha Polisi cha Buza na kuandikishwa kama MALI YA KUOKOTWA RB NO. BZA/RB/53/2025
Madereva wa bodaboda walioshugudia tukio hilo wamesema Danstan alinyofolewa kutoka kwenye gari lake na kufungwa Kitambaa usoni akilalamika kuwa alikuwa akitekwa.
View attachment 3192960
Na unaamini Samia hawezi kumaliza utekaji?
Utawala wowote ule ambao upo mwishoni, utawala wowote ule ambao unakaribia kuanguka au utawala wowote ule ambao unakaribia kukata roho, mambo kama haya ya kuteka watu ni kawaida kabisa kufanyika kwenye nchi yenye utawala wa aina hiyo. Hii ni kutokana na sababu za Watawala kuchanganyikiwa, kushikwa na hofu au kupata kiwewe.Haya mambo yameanza tena?
Point yangu ni syo anayetekwa basi ni mambo ya sisasa,Yule jamaa Anaweza asiwe Mwanasiasa Active huko kwenye majukwaa ya kisiasa ya mihadhara ya watu, lakini Anaweza kuwa Mwanasiasa Machachari Sana kwenye ulingo wa siasa za ndani za chama au hata humu mtandaoni.
Kumbuka, humu mtandaoni wameweka mamluki wao wengi Sana ambao wanafuatilia mijadala ya kisiasa iliyopo humu. Watu wanaotakiwa kutekwa (Mateka Tarajali) wamekuwa recruited humu mitandaoni kila siku.
Aidha, Utawala wowote ule ambao upo mwishoni, utawala wowote ule ambao unakaribia kuanguka au utawala wowote ule ambao unakaribia kukata roho, mambo kama haya ya kuteka watu ni kawaida kabisa kufanyika kwenye nchi yenye utawala wa aina hiyo. Hii ni kutokana na sababu za Watawala kuchanganyikiwa, kushikwa na hofu au kupata kiwewe.
Na Ukishaona watu wanafikia kutekana basi hawaziamini tena vyombo vya sheria kama polisi,mahakama nkYule jamaa Anaweza asiwe Mwanasiasa Active huko kwenye majukwaa ya kisiasa ya mihadhara ya watu, lakini Anaweza kuwa Mwanasiasa Machachari Sana kwenye ulingo wa siasa za ndani za chama au hata humu mtandaoni.
Kumbuka, humu mtandaoni wameweka mamluki wao wengi Sana ambao wanafuatilia mijadala ya kisiasa iliyopo humu. Watu wanaotakiwa kutekwa (Mateka Tarajali) wamekuwa recruited humu mitandaoni kila siku.
Aidha, Utawala wowote ule ambao upo mwishoni, utawala wowote ule ambao unakaribia kuanguka au utawala wowote ule ambao unakaribia kukata roho, mambo kama haya ya kuteka watu ni kawaida kabisa kufanyika kwenye nchi yenye utawala wa aina hiyo. Hii ni kutokana na sababu za Watawala kuchanganyikiwa, kushikwa na hofu au kupata kiwewe.
Huu upunguani ndio unasababisha hilotatizo lisiishe.Hii nchi ina mambo ya kijinga sana. Huu upumbavu wa kutekana na kuuana ulianzishwa na Magufuli.
Kwani gari limeokotwaje?Mkuu unaokotaje kuku, huyo ni lazima umemuiba...
Kwaiyo bado anaendeleza akiwa kaburini? Au bado Rais wa nchi ni yeye?
Au unataka kusema nchi haina Rais?