King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kikwete hakuwahi kuteka?Hii nchi ina mambo ya kijinga sana. Huu upumbavu wa kutekana na kuuana ulianzishwa na Magufuli.
Kikwete aliteka lakini hakuwahi kuua? Je, kwa kuwa Kikwete aliteka kwa hiyo ni halali utekaji na uuaji kuendelea?Kikwete hakuwahi kuteka?
Sidhani, si angerusha chupa za bia kama like tukio la Mkwajuni mwaka 83-84!!!Ukipitia CV...
Waarabu wa pemba hao!Sidhani, si angerusha chupa za bia kama like tukio la Mkwajuni mwaka 83-84!!!
Mtoto wa kishua kivipi? Mtu kapambana mwenyeweNoma sana!! Watoto wa kishua kuweni makini.
WORKING FOR KILLERS IS A SURE WAY OF BOOKING A PLACE IN HELL.Ukipitia CV yake tu unajua kwamba jamaa ni "KITENGO'.
Haya mnaopenda kazi za vitengo madhara yake ndiyo hayo.
Jamaa ndiyo hivyo washamalizana naye.
Hakuna awamu ya Utawala hata moja hapa Tanzania ambayo haijawahi kuteka watu, kuua watu au kuwafanyia watu uharamia. Hakuna kabisa.Kikwete aliteka lakini hakuwahi kuua? Je, kwa kuwa Kikwete aliteka kwa hiyo ni halali utekaji na uuaji kuendelea?
Wakenya walijribu kuiga wameona ni ujinga wamewarudisha vijana waoHii nchi ina mambo ya kijinga sana. Huu upumbavu wa kutekana na kuuana ulianzishwa na Magufuli.
Kwa hiyo kwa kuwa utekaji ulianza tangu zamani uendelee tu mkuu?Hakuna awamu ya Utawala hata moja hapa Tanzania ambayo haijawahi kuteka watu, kuua watu au kuwafanyia watu uharamia. Hakuna kabisa.
Remember:-
"Any government is an organ of exploitation by nature."
Mikhail Bukanin
Utekaji watu wenye malengo chanya ili kulinda maslahi mapana zaidi ya umma unapaswa kuendelezwa, lakini utekaji watu wenye nia ovu ya kutisha Watu watetezi wa HAKI Kamwe haupaswi kufanyika, badala yake unapaswa kukomeshwa mara moja na Wahusika wanapaswa kuwajibishwa Kisheria.Kwa hiyo kwa kuwa utekaji ulianza tangu zamani uendelee tu mkuu?
Umesahau wanaojihusisha na kuendeleza Biashara ya mihadarati!!!!wezi