Dar es Salaam: Askari 300 waongezwa kudhibiti panya road

Bwana Makala, unahitaji ushauri kutoka nje ya kamati yako ya ulinzi na usalama ili ufanikiwe kudhibiti uhalifu huu wa panyaroad na mwingine, nikukumbushe kuwa miezi ya mwanzoni mwaka huu ulikuja na slogan hiihii ya kupambana na mapanyaroad na kisha ukatoka kututangazia kuwa Dar sasa shwari panyaroad wamedhibitiwa! Did you notice kwamba waliokamatwa hawakuwa panyaroad? Ukiendelea kutegemea hao wasiathiriwa na uwepo wa hao panya na wanufaika wa uhalifu mkoani hapa utaharibikiwa ndugu.
 
Wakati wa Magufuli upumbavu kam huu haukuwepo, ndo matokeo ya kuufungua uchumi haya. Panya Road na wao wanatumia mwanya wa kuufungua uchumi
 
Polisi wakianza kaz yao utawasikia haki za binadamu, sasa hivi haonhaki za binadamu huwasikii hata kukemea hivyo vitendo, polisi niko pamoja na nyie hivi vitoto vinashusha hadhi yenu kabisa, halafu utashangaa hivyo vipanya vinasumbua maeneo yaliyo katibu kabisa na vitio vya polisi, unajikuta unashangaa, Kuna mwaka hivyo vipanya vilisumbua ukonga, Mombasa na maeneo jirani, unajiuliza hizo Kambi za jeshi, sijui FFU na magereza kazi zao za ulinzi ni ndani ya mageti tuu??
 
Makala anaongea ongea tu hamnalolote, mkuu wa mkoa anapiga domo tu hamna vitendo!!!
 
Kwahiyo polisi wanapapasa wakimshika mtuhumiwa...?
 
We wataka wafanyeje ili wamanchi wawe salama na mali zao?
 
Wafe tu Kwa kweli
 
Mambo mengine lazima yawe na positive na negative
Ukisema mfatilie haki za binadam sjui sheria mtazidi kuumizwa na kuuwawa

Ova
 
Hakuna kuwasikia hao watu za haki za binadam,kuna watu wengine dawa yao ni kuondoshwa tu

Ova
 
Mimi naendelea kusisitiza ni muhimu kutafuta suluhisho la muda mrefu lakini wakati hilo likiendelea suluhisho la kuanzia ni kuwafukia haraka hawa vijana then tuendelee....
Mambo kama haya hayatajirudia
 
Hakuna kuwasikia hao watu za haki za binadam,kuna watu wengine dawa yao ni kuondoshwa tu

Ova
Anayekamata sio Makala, Kuna miezi ya katikati hapo ilipita operation hata ukikutwa midomo myeusi sijui unamesokota Rasta na kunyoa kiduku karandinga ilikuhusu, Kuna dog jiran na ninapoishi anavuta bangi alipotea siku tatu ndugu zake kufuatilia alikutwa central huko
 
Operation ya kirufiji labda ingesaidia!
Nilishasema humu,ilala kuna kundi
Walikuwa wanajiita chaukucha
Walikuwa wanasumbua ilala hadi buguruni mpk mto kigogo huko
Iliundwa task force maalum,baraka
Zote zlitoka juu tena
Mbona waliwafyeka ilikuwacni kuua tu

Ova
 
Dawa ya panya ni kuua tu, full stop.
Ulizaa, ukashindwa malezi, unashauri MAUAJI Ili kuondoa tatizo!!!!!

Kwako ni sawa MZAZI amzike mtoto Badala ya MTOTO amzike mzazi!!!!!

Movie za VITA na mapigano ulimletea mwenyewe aangalie Ili asikupigie kelele na kuuliza maswali uliyoyaita ya kijinga.

Picha za ngono uliangalia ww na ulipozisahau alizotumia hizo hizo kujifunzia Umalaya.

Hukumfundisha mtoto njia impasayo Ili akue ktk hiyo, hukumpeleka Kanisani, Leo unataka auwawe?

Panya road ni watoto uliowazaa Ukiwa kijana ukawatelekeza wakalelewa na wamama pekeao Leo unashauri wauwawe???? Really??

Unarudi nyumbani umelewa, hujui watakula nn, Leo unashauri panya road wauwawe.

Wazazi wachukue hatua madhubuti KUSIMAMIA malezi ya watoto wao,

Samahani, naongea na wazazi kupitia post Yako.

Ameeeeeen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…