Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Hao sio panya road bali ni majambazi mbona mnawapaka mafuta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SIyo Makala hafai. Tanzania kuna total leadership collapse. Hakuna organisation kwenye uongozi. Kila kiongozi anajaribu kurekebisha anavyoona inafaa lakini kadiri anavyojaribu ndivyo anazidi kuharibu.Makalla hafai kuingoza Dar jamani
Umesema ukweli. Hata wakiua tatizo halitaondoka. Sana sana watauawa watu wengi wasio na hatia. Panya road ni tatizo la uongozi wa nchi. Raia (wazazi) nao ni victim wa uongozi mbovu. Kumbukeni haya mambo yameenza kujijenga siku nyingi, polepole. Panya road wa leo wamezaliwa na wazazi ambao nao walikosa mwelekeo, hivyo wakakua bila uangalizi.Ulizaa, ukashindwa malezi, unashauri MAUAJI Ili kuondoa tatizo!!!!!
Kwako ni sawa MZAZI amzike mtoto Badala ya MTOTO amzike mzazi!!!!!
Movie za VITA na mapigano ulimletea mwenyewe aangalie Ili asikupigie kelele na kuuliza maswali uliyoyaita ya kijinga.
Picha za ngono ukiangalia ww na ulipozisahau alizotumia hizo hizo kujifunzia Umalaya.
Panya road ni watoto uliowazaa Ukiwa kijana ukawatelekeza wakalelewa na wamama pekeao Leo unashauri wauwawe???? Really??
Unarudi nyumbani umelewa, hujui watakula nn, Leo unashauri panya road wauwawe.
Wazazi wachukue hatua madhubuti KUSIMAMIA malezi ya watoto wao,
Samahani, naongea na wazazi kupitia post Yako.
Ameeeeeen.
Polisi waimarishe doria, nimeona mahala wanasema wataongeza magari, hii ni hatua nzuri, lakini nimeshaona mara nyingi, pale operation kama hii zikianza, polisi huwa wanasomba kila wanayekutana nae, hawajali muhalifu au vinginevyo.We wataka wafanyeje ili wamanchi wawe salama na mali zao?
Jinga wewe,Naona Makalla anawaruhusu polisi kuendelea kuwapiga watuhumiwa wakiwa mikononi mwao, tujiandae kupokea taarifa zaidi za mahabusu kufia vituo vya polisi.
Hawa jamaa wanatatua tatizo moja kwa kutengeneza tatizo lingine, huu ni mfano halisi wa mamlaka iliyochoka akili inayostahili kupumzika kuwaongoza watanzania.
Endelea kujidanganya Tu hawa panya road ni shabaUmesema ukweli. Hata wakiua tatizo halitaondoka. Sana sana watauawa watu wengi wasio na hatia. Panya road ni tatizo la uongozi wa nchi. Raia (wazazi) nao ni victim wa uongozi mbovu. Kumbukeni haya mambo yameenza kujijenga siku nyingi, polepole. Panya road wa leo wamezaliwa na wazazi ambao nao walikosa mwelekeo, hivyo wakakua bila uangalizi.
JAMII irudishe MOTO Kwa VIONGOZI juu waliohujumu mifumo ya ELIMU na kuruhusu Maadili kuporomoka ktk JAMII.Umesema ukweli. Hata wakiua tatizo halitaondoka. Sana sana watauawa watu wengi wasio na hatia. Panya road ni tatizo la uongozi wa nchi. Raia (wazazi) nao ni victim wa uongozi mbovu. Kumbukeni haya mambo yameenza kujijenga siku nyingi, polepole. Panya road wa leo wamezaliwa na wazazi ambao nao walikosa mwelekeo, hivyo wakakua bila uangalizi.
Yaleyaleeeee!! Akili zetu weusi, unatafuta wahalifu halafu unnawaambia tunnakuja kuwasakaDar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla amesema mkoa huo umeongeza askari 300 kwa ajili ya msako wa kuwakamata wahalifu maarufu 'panya road'.
Makalla ameyasema hayo leo Alhamisi Septemba 15, 2022 alipokuwa akizugumza na wananchi wa Kata ya Zingiziwa mara baada ya kutembelea ujenzi wa barabara ya Chanika -Homboza.
Kuna ubaya wakifia ndani panyaroad?Naona Makalla anawaruhusu polisi kuendelea kuwapiga watuhumiwa wakiwa mikononi mwao, tujiandae kupokea taarifa zaidi za mahabusu kufia vituo vya polisi.
Hawa jamaa wanatatua tatizo moja kwa kutengeneza tatizo lingine, huu ni mfano halisi wa mamlaka iliyochoka akili inayostahili kupumzika kuwaongoza watanzania.
PANYAROAD walizaliwa kama wewe, UOVU wamefundishwa na wazazi na JAMII walizokulia Kwa kushindwa kuwalea ipasavyo .
Panya road ni watoto na vijana wadogo ambao bado hawajaanza hata kujitegemea.Yote haya yanatokana na tozo za hovyo zilizoanzishwa na hii serikali ambayo haijachaguliwa na wananchi.Tozo zimesababisha maisha kuwa magumu na kuzalisha makundi ya kihalifu kama haya ya panya road.serikali zitoeni hizi tozo za kisengelenyuma
Ushawahi kupigwa panga la shingo ukaponea kufa?PANYAROAD walizaliwa kama wewe, UOVU wamefundishwa na wazazi na JAMII walizokulia Kwa kushindwa kuwalea ipasavyo .
Panya road wanatufunza tulipokosea kama Nchi tuwajibike kuleta watoto wetu.
Sijui umeandika pumba gani hizi.Jinga wewe,
Askari atajaevunja sheria afikishwe mahakamani na yeye Ila hao panya road wauawe tu
Mamlaka ipumzike alafu nani ashikilie nchi? panya road?Naona Makalla anawaruhusu polisi kuendelea kuwapiga watuhumiwa wakiwa mikononi mwao, tujiandae kupokea taarifa zaidi za mahabusu kufia vituo vya polisi.
Hawa jamaa wanatatua tatizo moja kwa kutengeneza tatizo lingine, huu ni mfano halisi wa mamlaka iliyochoka akili inayostahili kupumzika kuwaongoza watanzania.
Ndicho alichamaanisha ila kaongea kiutu uzima.Dawa ya panya ni kuua tu, full stop.
Matendo mabaya ya panya road ni matokeo ya JAMII kushindwa malezi .Ushawahi kupigwa panga la shingo ukaponea kufa?
Nimegundua ktk JAMII Kuna WAUWAJI wengi kuliko tunavyodhani.Bwana weee! Turudishe ile staili yetu ya zamani, tukiwakama ta basi tunawapeleka chocho kisha pyu pyu pyuuu. Then tunasema waliruka kutoka kwenye difenda wakati wanapelekwa kituoni.
Huu ndio wajibu wa polisi na ndio maana tunalipa kodi ili walipwe kwa kazi hii.Community ya Dar ?
Mmmeshindwa kujioganaiz mtaa kwa mtaa nyumba kwa nyumba.....