Dar es Salaam: Askari 300 waongezwa kudhibiti panya road

There's no law in the field of war.
Hiyo option ya malezi ushachelewa bali solution ni kuchukua immediate actions kudhibiti tatizo au wananchi wengi wasio na hatia watapoteza maisha.
Wamechagua vita basi wajiandae kupigana vita.

Kuna binti wa miaka 24 ameuliwa na hawa mbwa, je huyo binti angekuwa mwanao au dada yako ungeandika hichi unachoandika hapa?
 
Endelea kujidanganya Tu hawa panya road ni shaba
Usipoteze FOCUS,

Serikali ya CCM inastahili kuwajibishwa Kwa kushindwa KUSIMAMIA ulinzi na USALAMA wa raia wake.

Ajiuzulu kuanzia waziri husika, RC, DED Hadi mkt wa mtaa.

POLISI wasiruhusiwe na JAMII kuuwa RAIA Kwa kushindwa kudhibiti matukio haya.

Ameeeen
 
Umeongea kitu sahihi kabisa.

Kutatua hili tatizo ni lazima kuliangalia kuanzia kwenye mzizi wake(Malezi ya watoto). Jamii tumejisahau sana katika hili.

Natoa mfano: Nili kaa mwanza mjini (Ilemela) kwa muda wa wiki 2 hivi hapo mwezi wa tatu mwaka huu, nilishangaa kukuta idadi kubwa ya watoto umri kati ya miaka 10 - 15 wakizagaa zagaa mitaani kutafta msaada wa chakula, hii ikimanisha hakuna mtu wa kuwasiamia au hawataki kusimamiwa na wametoroka nyumbani. Na mara nyingi watu wamekua wakiwafukuza wasionekane kwenye maeneo yao.

Ukiwatazama zaidi ubagundua wengi wao wameacha shule mapema kabisa au hawajawai kwenda shule kabisa.Kuna watu wanaleta siasa kua hao vijana wamekosa ajira binafsi sikubaliani nao na hata ksma wapo walio soma wakosa ajira ndo waamue kujiunga huko basi hao wamekosa sifa kabisa kuajiriwa popote. Issue ni kwamba vijana hawa washakata tamaa hakuna future wanayoiona mbele kwao kuishi na kufa yote sawa tu ndo mana wako hivo.

Sasa jiulize mtoto kama hyu akikua kufikia miaka 18 akakutana na ushawishi wa genge lolote la kiuhalifu, sidhani kama atakua na chembe ya huruma kwa jamii ambayo haikuonyesha kumjali kipindi chote alipo kua anakua.

Na kiukweli hao panya road wakipata support ya kisiasa let's say Alshababu au Jirani yetu EA asiependa amani kwa majirani zake, akawaongezea nguvu(Silaha + Mafunzo kdg) kwa kweli miji mingi itakua haikaliki.

Nguzo ya malezi izingatiwe kwenye jamii zetu. Iwe ni kosa kabisa kukuta mtoto chini ya miaka 15 anazagaa mtaani, halmashauri zitenge fungu kabisa la kuchukua hawa vijana na kuwawekea mazingira rafiki kwao. Nje ya hayo yajayo yanafurahisha.

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Panya road ni watoto na vijana wadogo ambao bado hawajaanza hata kujitegemea.
Tozo zinahusika vipi hapo?

Nasema ua hao mbwa.
Sasa kama sahvi waambiwa kamari ni ajira kama ajira zingine,hapo unategemea nini!

Ova
 
Mambo mengine lazima yawe na positive na negative
Ukisema mfatilie haki za binadam sjui sheria mtazidi kuumizwa na kuuwawa

Ova
Wanauwa watu halafu uogope retaliation eti haki za binadamu !! Wao mbona hawaogopi haki za binadamu ???!
 
Ningesikitika bt nisingeenda kuua kulipiza KISASI .

Ningeenda kufungua KESI kudai viongozi husika wawajibishwe Kwa kushindwa kulinda RAIA na Mali zao.

Ameeeeen
 
Ningesikitika bt nisingeenda kuua kulipiza KISASI .

Ningeenda kufungua KESI kudai viongozi husika wawajibishwe Kwa kushindwa kulinda RAIA na Mali zao.

Ameeeeen
Basi nenda kafungue kesi sasa hivi kudai viongozi husika wawajibishwe kwa kushindwa kulinda Raia na Mali zao.

Kwanini haujafanya hivyo mpaka sasa hivi?
 
Wanauwa watu halafu uogope retaliation eti haki za binadamu !! Wao mbona hawaogopi haki za binadamu ???!
Wanaostahili adhabu hiyo ni Viongozi tuliowapa dhamana kutulinda sisi na Mali zetu.

Tusipoteze FOCUS tukaanza kuuana sisi Kwa sisi wakati waziri wa Ulinzi na RC na DED wanagonga CHEERS!!!¡!
 
Wanauwa watu halafu uogope retaliation eti haki za binadamu !! Wao mbona hawaogopi haki za binadamu ???!
Police kote dunia,wanapo deal sehemu au kuwafata wahalifu wTukutuku huenda full mask nondo

Ova
 
Basi nenda kafungue kesi sasa hivi kudai viongozi husika wawajibishwe kwa kushindwa kulinda Raia na Mali zao.

Kwanini haujafanya hivyo mpaka sasa hivi?
Ndo usitatue tatizo Kwa njia HARAMU, Waziri wa Ulinzi, RC, DED, RPC ndo wawajibishwe Kwa kushindwa kudhibiti uhalifu.
 
Mwalimu alisema ukiwa kiongozi ukapita barabarani ukamuona mtu amelala barabarani na ana njaa ujue hilo linakuhusu pia !! Sijui alikuwa amekusudia nini !!
 
shida itakuja kuna watu wrong watakamatwa.. na wengine watakamatiwa visasi sababu polisi nao ni binadamu.
 
Ndo usitatue tatizo Kwa njia HARAMU, Waziri wa Ulinzi, RC, DED, RPC ndo wawajibishwe Kwa kushindwa kudhibiti uhalifu.
Wewe mpaka sasa hivi umeshindwa nini kwenda kuwashitaki viongozi husiki juu ya huyo binti aliyeuliwa na panyaroad.
Sababu ni ushahidi tosha juu ya kushindwa kutimiza wajibu wao wa kulinda raia na mali zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…