Dar es Salaam: Askari 300 waongezwa kudhibiti panya road

Wanauwa watu halafu uogope retaliation eti haki za binadamu !! Wao mbona hawaogopi haki za binadamu ???!
Unakumbuka lile tukio huko kenya
Yule askari Ahmed rashid,alimtandika
Dogo mmj mbele ya umati risasi
Yule dogo alikuwa gangster na alishashindikana.....
Ah watu walimwambia tu Yule dogo sasa popote ukatapoonekana,uhai wako tunauchkua ...mbn walimmaliza
Police inabd iwe na watu dizain ya Ahmed rashid....yaani mtu mwenye file chaf,hasiki hataki kuacha uhalifu au kubadilika wao ni kumngoa tu
Hata Brazil police wao maalum wanafanya sana hiyo,maana kuna watu wTukutuku hawasiki..

Ova
 
Baba za watoto hao wamo humu wanashangilia POLICE waende kuwauwa!!!!!!

Serikali imetokana na wananchi.

Wananchi ndo wanawaajiri Rais, Wabunge, Waziri wa Ulinzi nk.

Tusiwape tiketi ASKARI kuua raia, Lissu ilikuwa hivyo hivyo .

Tuwawajibishe Viongozi waliobeba dhamana Kwa kushindwa kulinda RAIA na Mali zao.

JAMII pia ijiangalie ilipokosea, tusiruhusu Damu kumwagika ktk Nchi

Ameeeen.
 
Hawa wanaharakati humu wanaandika kama wanavuta bangi hawana tofauti kabisa na panyaroad.
Nasema police ikikamata hawa mbwa ni kupiga mpaka kifo hakuna kuonea huruma wauaji wa raia wasio na hatia.

Kama ndugu yako ni panyaroad hata mimi nikimshika napiga vilevile. navunja na miguu.
 
Vijana hujiingiza kwenye makundi ya kihalifu baada ya kukosa ajira.
Asilimia kubwa ya panya road ni watoto na vijana kuanzia miaka 15 na kuendelea.
Watoto na Vijana ambao wengi wameishia la saba kwa kufeli au kuacha shule, ajira zinahusika vipi hapo?

Mtu mwenye elimu ya university hawezi kushika panga akaingia mitaani kuiba, kupiga watu na kuua.
 
Hao sio panya road bali ni majambazi mbona mnawapaka mafuta.
Na Hawa panya road wa KIKE wanaojiuza kuanzia miaka 10 tuwafanyeje???!

JAMII inapojivua yanapotokea matatizo ambayo chanzo ni SISI wenyewe.

Ameeen
 
Waache waendelee kuwaficha wahalifu watawanyoosha..
 
Na Hawa panya road wa KIKE wanaojiuza kuanzia miaka 10 tuwafanyeje???!

JAMII inapojivua yanapotokea matatizo ambayo chanzo ni SISI wenyewe.

Ameeen
Oi! kama una ndugu yako ni panya road na anatembea usiku basi mwambie leo alale nyumbani au tukikamata atapigwa tu mpaka kifo.
Naona unatetea ujinga.
 
Dar ndio mkoa pekee wakazi wake wanalala na TV vyumbani mwao asubuhi wanaipeleka sebuleni
 
Kwann wameshindwa kuendelea na shule secondary au kuingia veta nk.

Lipo jambo JAMII na Serikali Kwa ujumla tunajitoa uhusika.
 
kwani wale wa kipindi kile walikua panya wa michongo au waiku really?
 
Oi! kama una ndugu yako ni panya road na anatembea usiku basi mwambie leo alale nyumbani au tukikamata atapigwa tu mpaka kifo.
Naona unatetea ujinga.
Ninyi ndo watu wasiojulikana. Mnafanya KAZI Kwa Zima moto, hamuangalii CHANZO Cha tatizo Ili kulitatua once and for all!!!
 
Kwann wameshindwa kuendelea na shule secondary au kuingia veta nk.

Lipo jambo JAMII na Serikali Kwa ujumla tunajitoa uhusika.
Oi! swali gani hili la ajabu kudadadeki?
Sababu hawataki shule, mtu mzima hataki shule mpaka anatoroka nyumbani unataka umbembeleze arudi shule kama mtoto mchanga?

Maswali ya ajabu kabisa.
Police ua hawa mbwa.
 
Hivi JPM alikomeshaje hawa mapanya. Kipindi chake wote walijificha mashimoni.

Mama anawambembeleza sana hawa.
 
wawe askari mia 300 kama task force ya muda wote tena itumike akili sio kuua na kukamata watu hovyo hovyo.

isiwe kigezo cha kukamata vijana hovyohovyo na kujipatia rushwa kwa kisingizio cha Panya road baadala yake iwe operation yenye kutumia akili.
 
Eti Hosipitali ya Mwananyamala wodi ya Mwaisela!!?? Makala aache uhuni. Hao wanatakiwa watafutwe mochuary nansio waodini. Wapuuzi mno hao
 
Ninyi ndo watu wasiojulikana. Mnafanya KAZI Kwa Zima moto, hamuangalii CHANZO Cha tatizo Ili kulitatua once and for all!!!
Nimekuuliza mwanzo:
Wewe mpaka sasa hivi umeshindwa nini kwenda kuwashitaki viongozi husiki juu ya huyo binti aliyeuliwa na panyaroad.
Sababu ni ushahidi tosha juu ya kushindwa kutimiza wajibu wao wa kulinda raia na mali zao?

Kwanini wewe usiende kushtaki hao viongozi badala unalialia hapa au huyo binti sio mwananchi wa Tanzania?
 
Oi! swali gani hili la ajabu kudadadeki?
Sababu hawataki shule, mtu mzima hataki shule mpaka anatoroka nyumbani unataka umbembeleze arudi shule kama mtoto mchanga?

Maswali ya ajabu kabisa.
Police ua hawa mbwa.
Anyway, Mungu na Akubariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…