Dar es Salaam bado ni jiji la kimasikini saana! Ushahidi kwenye picha!

Inawezekana mtoa mada ndio una mawazo ya kimaskini utajiri wa Jiji au nchi haupimwi na skyscrapers tu!nenda mji mikubwa ya ulaya uone hakuna skyscrapers lakini ni matajiri mfano wa karibu London.
 
Tajiri mwenye akili lazima ajenge ghorofa mjini maana ni matumizi bora ya ardhi. Kwani uchumi wewe ulisomea nchi gani, mkuu?
kwahiyo masaki wanapokaa kina Mo kuna magorofa meng sana ? mkuu shule umesoma irambo nini? ile shule alooiimba jay mo kwenye "maisha ya boarding "
 
Si Dari slum Tu , TANZANIA nzima kwa kiasi kikubwa ni horrible slum
 
Metrics zako za Umasikini nadhani zimepotoka ingawa huenda kweli miji mingi duniani ni slums na haijapangika (Utajiri sio Sky Scrapper) huenda sehemu nyingi hazipo kutokana na sababu nyingi (culture, miundombinu na ustahimilivu wa kimazingira)..,

Ingawa mji wowote ulipangika na ulio sustainable inabidi kuzingatia pillars tatu (Environmental, Social na Economical) to put it bluntly kama mtu hawezi kutoka point A mpaka B kwa urahisi, hawezi kufika kwa urahisi kujipatia Ujira na Public Services ni za hati hati basi huo sio mji worth living iwe ni Timbuktu au New York... does not matter... And on that token Dsm does not tick the above requirements na wengine walifikia hadi kusema kwamba pananuka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…