Hebu acheni kujidanganya hapa. Wekeni picha za ukweli. Be real.
nani kakuambia tunajidanganya? sasa picha za ubalozi wa marekani uliopigwa bomu ndio unakufanya wewe uwe real? dont be sensitive bro, post any photo you like
Yaani katika picha zote nilizoweka umeona moja tuu?
Jiji la Dr Maeneo ya City Centre hukosa hadi Watemeaji wa Miguu.
Jiji la Dr Maeneo ya City Centre hukosa hadi Watemeaji wa Miguu.
Huwa ni Wachache mno hupita njia zingine kama hapo tuonavyo