Kwa style hii utapiamlo hautaishaHao wote hamna kitu.Waje hapa ninapoishi wapate tuisheni.Unga kilo kadhaa unapikwa ugali halafu unakatwa kidogo ndiyo unakuwa mboga.Yaani tunakula ugali mkubwa kwa kutoeza kwenye ugali mdogo kama mboga.
Inategemea minyoo wako wa njaa wana umri gani.Kwa style hii utapiamlo hautaisha
Arusha hakuna mishikaki, bar zote kuna mzani nyama inaliwa kwa kilo.Kisayansi hii imekaa sawa kwa sababu maeneo yenye baridi mwili unatumia nguvu nyingi kutengeneza joto, hivyo huhitaji chakula kingi kuliko maeneo yenye joto.
Nashukuru mkuu ninaanza tiba hii haraka mno.Kwa nini nikudanganye? Mimi nimevishinda vidonda vya tumbo vilitaka kunizoea nimevikomesha na nimevifanyia study ya kutosha.
Nenda pharmacy kubwa uliza Acid reducer za ulaya au Marekani achana na dawa za Wahindi, Kenya au Msd tumia hizo halafu fanya antioxidant ya juice ya limao kabla hujalala uone kama utasikia tena vidonda au kiungulia, pilipili twende kazi.N
Nashukuru mkuu ninaanza tiba hii haraka mno.
Dar ule sana kwani unaenda kulima?Wale wataalam wa lishe au wale wataalam wa mahesabu, cross multiplication HiI Imekaaje.
Wote ni watanzania ila matumbo mengine yanapokea full tank.
Niko mkoa ambao sitautaja,nimeshuhudia mtu na mkewe wakipija wali kilo mbili na kubakiza kidogo sana,kwa uzoefu wangu wakuishi Dar kili mbili tulikuwa tukilafamilianzima ya watu nane na unabaki kidogo kiporo cha watoto asubuhí.
Hii imekaaje
Uko mkoa upi mkuu njoo usukumani uone ugali wa watu wawili,uko dar mnakula familia nzimaHii chai. Hata mikoani hakuna anayemaliza kilo moja peke yake. Ungesema tu watu wa mikoani wanakula kuliko wa Dar ungeeleweka kuliko kuingiza uongo.
Dar es Salaam, hasa wanaume mengi hawana cha kufanya zaidi ya kukaa na kuongea porojo vijiweniWale wataalam wa lishe au wale wataalam wa mahesabu, cross multiplication HiI Imekaaje.
Wote ni watanzania ila matumbo mengine yanapokea full tank.
Niko mkoa ambao sitautaja,nimeshuhudia mtu na mkewe wakipija wali kilo mbili na kubakiza kidogo sana,kwa uzoefu wangu wakuishi Dar kili mbili tulikuwa tukilafamilianzima ya watu nane na unabaki kidogo kiporo cha watoto asubuhí.
Hii imekaaje
Wale wataalam wa lishe au wale wataalam wa mahesabu, cross multiplication HiI Imekaaje.
Wote ni watanzania ila matumbo mengine yanapokea full tank.
Niko mkoa ambao sitautaja,nimeshuhudia mtu na mkewe wakipija wali kilo mbili na kubakiza kidogo sana,kwa uzoefu wangu wakuishi Dar kili mbili tulikuwa tukilafamilianzima ya watu nane na unabaki kidogo kiporo cha watoto asubuhí.
Hii imekaaje
Mikoani ndio wapi?Wale wataalam wa lishe au wale wataalam wa mahesabu, cross multiplication HiI Imekaaje.
Wote ni watanzania ila matumbo mengine yanapokea full tank.
Niko mkoa ambao sitautaja,nimeshuhudia mtu na mkewe wakipija wali kilo mbili na kubakiza kidogo sana,kwa uzoefu wangu wakuishi Dar kili mbili tulikuwa tukilafamilianzima ya watu nane na unabaki kidogo kiporo cha watoto asubuhí.
Hii imekaaje
Hii comment nimecheka sanaKhaaaa inatakiwa ukaangaliwe hospital hilo tumbo au godown 😂😂
Tuongeze tu siku za kuishi mkuu kwa kuenjoy kam hivo😂😂😂Hii comment nimecheka sana
Wasukuma nimekaa nao wale OG kabisa wanaovaa mashuka kama wamasai ila hawali kilo moja ya wali kwa mtu mmoja.Uko mkoa upi mkuu njoo usukumani uone ugali wa watu wawili,uko dar mnakula familia nzima
Shida ya mikoani watu wanakula kujaza matumbo bila kuzingatia mlo bora au kamili. Elimu rahisi kabisa ya mlo kamili inataka sahani ya mlo uigawanye robo 4 na kila robo iwe na mbogamboga, matunda, wanga (wali, ugali, viazi, ndizi ni) na ya mwisho iwe ni protini (nyama, samaki nk)...sasa unakuta mtu asubuhi anapiga sahani ya wali na chai ya rangi ( wanga tupu), mchana au usiku ugali/wali na maharage, ndiyo maana utapiamlo ambao hupelekea udumavu wa akili hauwezi kuisha. Madhara ya udumavu wa akili ni pamoja na kuwa na jamii tegemezi (inayoamini kuna mtu ndiye ataleta maendeleo au mageuzi, kuamini kwamba kuna mtu atakuwa anafikiri na kuwaaamulia hatma ya maisha yao , yaani kuamini kwamba serikali itawaletea kila kitu nk ), jamii isiyopenda kusoma na kujielimisha ili iwe rahisi kukabiliana na changamoto mbalimbali, jamii inayopenda mafanikio kwa njia ya mkato na bila jitihada ya dhati ( uchawa, kubeti, kwenda kuombewa na kudanganywa na manabii wa uwongo na kufanywa mtaji na wanasiasa wenye ulaghai nk nk nkMikoani huko vijijini ni milo miwili tu,chai haipo