Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Sasa Jana waziri alikuwepo walikuwa kila wanachoambiwa wanapiga makofi,na akatoa siku 7 za uchunguzi,leo wanaandamana nn sasaSafi kabisa haki hudaiwa kwa haki. Hata hivyo hilo soko ni la manispaa sio lap hata hiyo haki hawana.
Hii nchi Kuna group la watu wanahisi wao ndio was maana sana. Machinga wanajiona wao ni special group wasikilizwe kila matakwa yao.
Sijui wenye viwanda nao wagome halafu uone nani anasikilizwa?
Umeongea ukweli wa wazi kabisa na umeitendea haki avatar yako.Haikuhitaji kuwa mfuasi wa chama au dini Bali ubinadamu tu unatosha kujua kiwango cha unyama waliofanyiwa na wanaoendelea kufanyiwa......
Itikadi zao au mitazamo ya kisiasa hailalishi unyama waliofanyiwa........
Eneo la breweries lileSwali fikirishi Sana.
Rudi,ulizia historia la eneo hilo ni la nani?Jieshiemu
Hapo ndio utashangaa, na ndio maana nimesema hao walioandamana leo unaweza kukuta ni wahuni tu hawana hata kibanda pale Ila wanataka wafunguliwe ili wajigawie mapema maeneo ya kuwapangisha wengine.Sasa Jana waziri alikuwepo walikuwa kila wanachoambiwa wanapiga makofi,na akatoa siku 7 za uchunguzi,leo wanaandamana nn sasa
Gsm wapi eneo hilo ni la breweriesUkisikia GSM kakabidhiwa hapo wala usishangae. Soko dogo la Kariakooza chini chini zinadai tayari kashakabidhiwa. Yale madai ya kuwa rimoti ameshikilia msoga naanza kuyaamini.
Unafikrii waliopo pale ni ccm tu?Wanadeserve wanachokipata kwa kuwa wakati CCM inapora chaguzi walikenua meno...
Katili si alikufa na mkashangilia sana?Wamachinga wanatakiwa wafikirie zaidi namna ya kuongea lugha kali itakayoeleweka na watawala katili.
Mbona jazba?Katili si alikufa na mkashangilia sana?
Katili yupi tena?
Na bado
Kumbe ccm ni wengi kiasi hicho?kabisa yani, hapo utakuta wote ni ccm na hata wanaoonekana kulaumu wanatupia lawama kwa awamu hii na kusema ingeluwa awamu iliyopita haya yasingetokea
Yani kiufupi hawajaona tatizo la kuongozwa na ccm
Vipi kwani ukatili si aliondoka nao mwendazake?Mbona jazba?
Kiukweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa.
Wanasiasa hebu wasaidieni hawa wamachinga wanapita katika kipindi kigumu sana.
Hali niliyoishuhudia leo pale Karume ilinikumbusha zile vurugu za wale Imani kali pale Mwembechai enzi za Augustino Lyatonga Mrema
Mungu wa mbinguni wape busara viongozi wetu.
Mama anajitoa ufahamuJohn alikuaga mjanja sana alijua akicheza vizuri na hilo kundi atatawala vizuri ndicho alichofanya ili msala abaki nao ataemfuata na ndio hivo, kwa sababu nchi ya watu milioni karibu 60 ajira rasmi hazizidi milioni 2 ina maana kuna watu lazima wawe wachuuzi, machinga na kadhalika na idadi yao ni kubwa sababu hata wasio na ajira kwa nchi kama yetu hawana security yoyote hata ya chakula au mlo mmoja kwa siku tofauti na nchi kama south ambapo jobless japo serikali inawapa chochote kitu mwisho wa mwezi, sasa kuhandle issue ya machinga inataka kutumia busara ya hali ya juu sana