Dar es Salaam na Pwani joto bado kali hakuna kipupwe tofauti na mikoa mingine. Shida ni nini?

Dar es Salaam na Pwani joto bado kali hakuna kipupwe tofauti na mikoa mingine. Shida ni nini?

Ruble

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
845
Reaction score
1,579
Hii mikoa laana zimezidi za watu au shida ni nini? Ilipaswa kuwa baridi mwezi huu lakini joto kama lote tofauti na mikoa mingine. Hatujui lini winter(kipupwe) kitaanza 🤦🏾

Ina maana majira yamebadilika huku tu, mbona mikoa mingine sasa hivi kuna baridi?
 
mwalimu alivyokuwa anafundisha Jiografia darasa la tano we ulikua unasugua mkono kunusa mavi ya kuku leo unasumbua watu 🤣
Kivipi ndugu? Huoni majira yamebadilika mwezi wa 6 huwa baridi ila mpaka sasa fukuto na joto liko
 
Hii mikoa laana zimezidi za watu au shida ni nini? Ilpaswa kuwa baridi mwezi huu lakini joto kama lote tofauti na mikoa mingine. Hatujui lini winter(kipupwe) kitaanza 🤦🏾
Ina maana majira yamebadilika huku tu mbona mikoa mingine sasa hivi kuna baridi?

Mimi silioni kabisa
 
Nimekaa Bagamoyo huko ndani ndani,hua ni joto mda wite mana ni mbali kidogo kwa hiyo Sea breeze ipo low so as to Cool the airmass.
 
Mimi silioni kabisa
mna miili ya ku resist joto aisee joto kali hapa nyuzi 29 na unyevu 67%
Screenshot_20230617-111538_Chrome.jpg
 
Let say 21 km from the sea we feel hot,but when you travel near the sea there is cool air and smooth wind
 
Hii mikoa laana zimezidi za watu au shida ni nini? Ilipaswa kuwa baridi mwezi huu lakini joto kama lote tofauti na mikoa mingine. Hatujui lini winter(kipupwe) kitaanza 🤦🏾

Ina maana majira yamebadilika huku tu, mbona mikoa mingine sasa hivi kuna baridi?
Kwa kweli ni ajabu. Ni tofauti na miaka ya nyuma
 
Kuna kitu kinaitwa specific Heat Capacity, ni uwezo wa kitu kuweza kubeba joto. Bahari ina uwezo wa kubeba joto kubwa kuliko nchi kavu. Ndio maana unaweza kuta maeneo yanayozunguka ziwa/bahari yana joto kubwa.
Lakini kwa dar kuna tatizo la kiwango kidogo cha Unyevu(?)... Humidity. Hii inaweza changia joto kua nyingi sana ukijumlisha Kutokua na miti, msongamano wa nyumba nk
1686990206632.png
 
View attachment 2660274
Ni kiwango kidogo au kikubwa? Nijuavyo dar kuna kiwango kikubwa cha humidity. Leo ni 67%
 
Back
Top Bottom