Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Mark my words. Next week kuanzia jumatatu tegemeeni mvua.Hii mikoa laana zimezidi za watu au shida ni nini? Ilipaswa kuwa baridi mwezi huu lakini joto kama lote tofauti na mikoa mingine. Hatujui lini winter(kipupwe) kitaanza 🤦🏾
Ina maana majira yamebadilika huku tu, mbona mikoa mingine sasa hivi kuna baridi?
Hili joto na fukuto litakaribisha mawingi kupooza ardhi, walio mabondeni watakuwa na likizo ya kudumu hadi mwisho wa mwaka.
Tupande miti na kuboresha kwa kulinda njia za maji ili mafuriko yasilete maafa