Dar es Salaam na Pwani joto bado kali hakuna kipupwe tofauti na mikoa mingine. Shida ni nini?

Hii mikoa laana zimezidi za watu au shida ni nini? Ilipaswa kuwa baridi mwezi huu lakini joto kama lote tofauti na mikoa mingine. Hatujui lini winter(kipupwe) kitaanza 🤦🏾

Ina maana majira yamebadilika huku tu, mbona mikoa mingine sasa hivi kuna baridi?
muwe mnaoga wakati wa kulala, we umetoka kubeti unaganzi mwili mzima unarudi hujaoga, saa ngapi utasikia baridi.
 
Hii mikoa laana zimezidi za watu au shida ni nini? Ilipaswa kuwa baridi mwezi huu lakini joto kama lote tofauti na mikoa mingine. Hatujui lini winter(kipupwe) kitaanza 🤦🏾

Ina maana majira yamebadilika huku tu, mbona mikoa mingine sasa hivi kuna baridi?
Watu hawataki kupanda miti, kila mtu anaona ni jukumu la mwingine kupanda miti.

Na tukichukulia poa tutakuwa tunatembea huku tunaiva kwa joto taratibu.
 
Hii mikoa laana zimezidi za watu au shida ni nini? Ilipaswa kuwa baridi mwezi huu lakini joto kama lote tofauti na mikoa mingine. Hatujui lini winter(kipupwe) kitaanza 🤦🏾

Ina maana majira yamebadilika huku tu, mbona mikoa mingine sasa hivi kuna baridi?
tanzania kuna winter kumbe?
 
Kama uko temeke huko bado joto litakuwa Kali

Ila watu waishio manispaa ya ubungo wako kwenye kipupwe
 
Unabisha? Ww unachanganya winter na snow ndo maana unabisha. Southern hemisphere winter starts June to August. Na northern ndo kuanzia disemba. Usipagawe siku nyingine.
 
Kivipi ndugu? Huoni majira yamebadilika mwezi wa 6 huwa baridi ila mpaka sasa fukuto na joto liko
Mkuu unazidi kujichanganya...Jielimishe kwa kusoma comments au uliza wakazi wa Pwani.
Kila baada ya muda wa miaka kadhaa hiyo hali inatokea.Usiofu kwani kama zambi kila sehemu kuna zambi-
 
Unabisha? Ww unachanganya winter na snow ndo maana unabisha. Southern hemisphere winter starts June to August. Na northern ndo kuanzia disemba. Usipagawe siku nyingine.
wewe ndio usipagawe. Tanzania ipo kwenye tropics, na kwenye tropics hatu-experience all 4 seasons, bali ni wet and dry seasons tu. RUDI SHULE!
 
Back
Top Bottom