Kivipi ndugu? Huoni majira yamebadilika mwezi wa 6 huwa baridi ila mpaka sasa fukuto na joto likomwalimu alivyokuwa anafundisha Jiografia darasa la tano we ulikua unasugua mkono kunusa mavi ya kuku leo unasumbua watu 🤣
Ina maana hamuoni joto mkoa wa dar na pwani?hakuna kipupwe.Pwani gani kuna joto?
Inahusiana vp?kwamba nipigwe ac, wengine zinatudhuru.Tafuta pesa
Hii mikoa laana zimezidi za watu au shida ni nini? Ilpaswa kuwa baridi mwezi huu lakini joto kama lote tofauti na mikoa mingine. Hatujui lini winter(kipupwe) kitaanza 🤦🏾
Ina maana majira yamebadilika huku tu mbona mikoa mingine sasa hivi kuna baridi?
mna miili ya ku resist joto aisee joto kali hapa nyuzi 29 na unyevu 67%Mimi silioni kabisa
Kwa kweli ni ajabu. Ni tofauti na miaka ya nyumaHii mikoa laana zimezidi za watu au shida ni nini? Ilipaswa kuwa baridi mwezi huu lakini joto kama lote tofauti na mikoa mingine. Hatujui lini winter(kipupwe) kitaanza 🤦🏾
Ina maana majira yamebadilika huku tu, mbona mikoa mingine sasa hivi kuna baridi?
Ni kiwango kidogo au kikubwa? Nijuavyo dar kuna kiwango kikubwa cha humidity. Leo ni 67%Kuna kitu kinaitwa specific Heat Capacity, ni uwezo wa kitu kuweza kubeba joto. Bahari ina uwezo wa kubeba joto kubwa kuliko nchi kavu. Ndio maana unaweza kuta maeneo yanayozunguka ziwa/bahari yana joto kubwa.
Lakini kwa dar kuna tatizo la kiwango kidogo cha Unyevu(?)... Humidity. Hii inaweza changia joto kua nyingi sana ukijumlisha Kutokua na miti, msongamano wa nyumba nk
View attachment 2660274
Huu mji ukiwa na pesa, kuna baridi kali sana ....unakutana na joto wapi ukiwa na mzigo hapa Dar es salaamTafuta pesa
Pwani gani kuna joto?
una mwili mzuri basiNa mm nilitaka kuuliza Hili swali au dar gani kuna joto
Huenda ILA joto ni subjectiveuna mwili mzuri basi