Dar es Salaam na Pwani joto bado kali hakuna kipupwe tofauti na mikoa mingine. Shida ni nini?

Mark my words. Next week kuanzia jumatatu tegemeeni mvua.

Hili joto na fukuto litakaribisha mawingi kupooza ardhi, walio mabondeni watakuwa na likizo ya kudumu hadi mwisho wa mwaka.

Tupande miti na kuboresha kwa kulinda njia za maji ili mafuriko yasilete maafa
 
Tubadilishane mkuu maana huku niliko saa hizi niko ndani madirisha nimefunga nimepiga jeans na soksi juu lkn bado baridi ni ya hatari...
 
Maeneo mengi baridi halijakolea!
 
Joto lipo la kawaida sana mimi wiki ya pili hii siwashi vileta upepo na ninalala kwa raha....
Ila mchana jua ni kali sana
 
Anayesema saizi Dar kuna joto ni mgeni aisee, atakua kaja juzi juzi.
 
Anayesema saizi Dar kuna joto ni mgeni aisee, atakua kaja juzi juzi.
Kawaida mwezi wa sita huwa ni nyuzi joto 25 ila sasa halijashuka ni nyuzi 29 mpaka 30 mchana joto usiku kiasi ndo kaubaridi
 
Kuna watu wanakuambia hawasikii hili fukuto na joto wananishangaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…