Dar es Salaam ni mji wa kawaida ila unakuzwa sana

Ujuaji Ukizidi Shida
Kwahiyo Mji Unahusishwa na Wanawake fake?
 
kwaiyo saivi upo Mkoa gani huo ambao upo vizuri kuliko Dsm.
 
Ukisema dar kwamba ni mji unaokuzwa basi walau useme ni mji gani unaizidi hiyo dar kwa hapa nchini
 
Nyinyi watu wa mikoani kuiponda Dar mnajisikia raha ila sisi watu wa Dar tukiiponda mikoa yenu mnasema tunaringa , tunawanyanyapa na mengine mengi tu mnasema

Haya endeleeni kuiponda Dar yetu sisi tumeshazoea

Kuna mwaka nilienda Mbeya nilipofika Airport nikaona ndege zinatua na kupaa katika barabara za tope nilishangaa sana
 
Intachange ipo ila hazifanani. Kila nchi ina kipaumbele chake.

Sasa Lilongwe ni mji wa kulinganisha na Dar?

Hamna aibu!
Sasa Dar Kwa Lilongwe si kama dampo kubwa tuu kwani Kuna miundombinu ya Barabara kulinganisha na Lilongwe?

Dar hakuna interchange Kuna upuuzi
 
Mbagala siyo Dar

Nenda masaki, oysterbay, msasani, mikocheni, mbezi beach, posta, kkoo, kinyerezi, Kigamboni, mbezi ya kimara, kawe, kinondoni, mwanagati kitunda, ubungo, mwenge, Sinza, bunju
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…