Dar es Salaam ni mji wa kawaida ila unakuzwa sana

wewe unailinganisha dar we mwenyewe ukoapi kwanza tuanzie apo
 
Nilipo fika Stendi ya Mbagala siku imenyesha mvua,then nikaenda kwenye vyoo kukojoa......palivyo pachafu.Toka hapo nikapazereuuu sana Dasalamuu

Kwani lazima ukae Dar? Rudi mkoani
Hata bulee sikaii. Niko zangu huku Mlowo nakula hewa safiii pasipo stress...nguvu za kiume kama zotee,ningekaa Dar saivi zingenishia saivi ningeingia gharama ya Vumbi🤣🤣
 
Matembele ndo first priority yangu aisee ,kisamvu ndo sikipendi hata wakiunga na Nazi au Karanga
Kisamvu ni dawa

Soma faida za kisamvu utasikitika kwanini umekisema vibaya
 
Hata bulee sikaii. Niko zangu huku Mlowo nakula hewa safiii pasipo stress...nguvu za kiume kama zotee,ningekaa Dar saivi zingenishia saivi ningeingia gharama ya Vumbi🤣🤣
Nguvu za kiume ni hela

Hata uwe wapi, kama huna hela huwezi kuwa na nguvu za kiume
 
We unakuja Dar unafikia mbagala au manzese au unasema Dar overrated
 
Mbagala siyo Dar

Nenda masaki, oysterbay, msasani, mikocheni, mbezi beach, posta, kkoo, kinyerezi, Kigamboni, mbezi ya kimara, kawe, kinondoni, mwanagati kitunda, ubungo, mwenge, Sinza, bunju
Kimara hii hii ya bonyokwa na king'ong'o au?
 
Mbagala siyo Dar

Nenda masaki, oysterbay, msasani, mikocheni, mbezi beach, posta, kkoo, kinyerezi, Kigamboni, mbezi ya kimara, kawe, kinondoni, mwanagati kitunda, ubungo, mwenge, Sinza, bunju
Kumbe mwanagati ni dar? Nilikuwa sifahamu hilo🤣
 
Dar nimehama ila napamiss ile mitumba..na vidagaa uduvi...unapika ugali unatoka hapo nje unachukua ki mboga chako fasta unakaanga na tembele lako unatia ndimu nyingiii unakulaaa
 
Tafuta pesa mkuu, Dar siyo pa wakuja.
Dar km huna mchongo hata chooni huendi kila kitu pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…