Dar es Salaam ni mkoa uliojaa masikini wengi wanaojificha kwenye kivuli cha miundombinu tu

Huku dar asilimia kubwa kuna vijana wa hovyo[emoji1787][emoji1787]
 
Lamomy naona kazi ya uchochezi imekushinda
Ingia hapo kati wanazinguana humu alafu wanaogopana[emoji23]
 
Bundle unalo la kutosha sana, sema tu ulikua busy
Hii kazi inaanza kukushinda

Ingilia basi hata kati kati hapo[emoji23]
😂😂😂😂 kuna comment nimesoma nimecheka sana!!!
Wewe unataka nipigwe na wanaume wa mikoani na nisutwe na wanaume wa dar nishakuona
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna comment nimesoma nimecheka sana!!!
Wewe unataka nipigwe na wanaume wa mikoani na nisutwe na wanaume wa dar nishakuona
[emoji23][emoji23][emoji23] umeanza uoga. Vichwa vilishapata moto hapo amekosekana tu mtu wa kuchochea[emoji23][emoji23]
 
JIJINI DASLAAM KAA MBALI NENDA KAHAMA TUACHE MZEE
 
BILA DAR HAKUNA TANZANIA HATA MKE WAKO ANATAMANI KUPATA MUME DAR KUWA NA ADABU NA DAR MBUNGE WAKO KAPANGA DAR HUKO HAJI MPAKA KAMPENI...DAR ES SALAAM NDIO PARADISO YA TANZANIA MJI UNAKUFANYA USILAZE UBONGO MJI WENYE MIPANGO YA MAISHA YAKO YOTE
 
Ha ha ha bro toughlendon_1 umesikia jamaa mbishi anavyosema wanaume wa dar eti mnatembea na kiberiti 😂😂😂😂
Ya kweli haya?
 
Hata wa mikoani hatuna savings huo ndo ukweli
Mikoani anaweza kuwa na saving interm of mbuzi,kondoo,ng'ombe,mahind na maharagwe!!!ambapo saa yoyote ana convert kuwa pesa tena pesa nyingi !! Mfano mtu ana emergency akipeleka ng'ombe mnada anarud na lak 6 mpaka milion moja
 
Unawazungumzia hawa wenye magenge!? Hebu acheni mzaha jamani
 
Kabisa mkuu,

Kwenye usafiri ni kero tupu, Watu
wana jazwa na kushindiliwa kwenye Mwendokasi kama mapanya...
Usafiri na joto ni vitu vinavyonifanya nisiwe na hamu ya kurudi huko tena

Ila niliwah kukaa mbezi beach nilipapenda Sana hakuna joto,nikajichanganya nikaenda tabata Hilo joto lake kama kuzimu
 
Nyanya zinatokea mkoani inakuwaje zishindwe kumtajirisha wa mkoani zimtajirishe wa dar?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Dar na Kanda ya Ziwa ndio Ina idadi kubwa ya maskini kuliko hata Mikoa inayotajwa ya maskini kama Singida.

Naunga mkono hoja
 
Tena Kwa Sasa hivi Mimi Mkoa niliko watu hawana tena shobo za kuhamia mjini maana vitu basic vyote vinapatikana huko Huko Vijijini kama umeme,maji,Barabara,Huduma za Afya,Elimu.

Sasa mjini.labda Kama.kuna wasanii au timu kubwa zimekuja ila nothing else.

Zamani ilikuwa tunaenda Dar kushangaa magorofa,mataa na Barabara Kwa Sasa ziko mikoani Sasa mtu uje Dar kufanya nini hasa?

Yaacheni yaendelee kuwa maskini na nawahurumia waliozaliwa na kukulia huko kama umetokea familia maskini hesabu maumivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…