Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Mchungaji kiongozi "Ruth TEMU'TAG =chagga gang. na ninawasiwasi hata hiyo taasisi itakuwa niya mchagaa .
watu wanaasiara na maisha ya watu ,deni la 7mil.unauza nyumba ya watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchungaji kiongozi "Ruth TEMU'TAG =chagga gang. na ninawasiwasi hata hiyo taasisi itakuwa niya mchagaa .
watu wanaasiara na maisha ya watu ,deni la 7mil.unauza nyumba ya watu
Haki hii comment imenichekesha sana! 😂😂😂. Ila hili kanisa! Yaani, kutoka milioni saba mpaka milioni 17 in two years!!! Ama kweli, Ukistaajabu ya Musa......Wachungaji na kondoo wao!
TAG =chagga gang. na ninawasiwasi hata hiyo taasisi itakuwa niya mchagaa .
watu wanamasihara na maisha ya watu ,deni la 7mil.unauza nyumba ya watu
Riba ni 1 million Kwa mwaka ndani ya miaka mitatu deni limefika 17 million how?
Kanisa ndiyo mdhamini no moja,sema limejitoa Sasa hivi!!Kwa nilivyosoma naona km kanisa halihusiki Moja Kwa moja!
Lkn pia kanisa halikumtuma akakope
Mimi nimekuonyesha waasisi wa Uislamu wa Saudi Arabia na Waislamu kukuzidi hiyo familia ya Mwanza ambao kwenye bodi ya shule yenu wapo, wamejenga kituo cha yatima na wametoa misaada kwa waumini wa Mwanza.Ttzo upo mbali na Uislamu sahihi
Mnashadidia sana Uislamu wa mitandao ambao sio sahihi
Yaani utazani wanamdai Musiba!![emoji2][emoji2]Haki hii comment imenichekesha sana! [emoji23][emoji23][emoji23]. Ila hili kanisa! Yaani, kutoka milioni saba mpaka milioni 17 in two years!!! Ama kweli, Ukistaajabu ya Musa......
Elimu!Nyumba unachukulia mkopo wa 6m kweli.....inalinganaje kwanza
Hajakopa kanisani jamani tuwe tunatoa mawazo yetu baada ya kuelewa storyNina miaka 15 sijaingia kanisani. Huyu ni muumini, mtoa fungu la kumi kwa uhakika. Lakini leo ataishi kama mtumwa kwa kukosa makazi, kisa mkopo wa kutoka kanisani.
Unamkopesha mtu 6mil sabb tu ni mtoaji mzuri wa fungu la kumi na ni muumini wa kanisa aiseee nchi ina vituko hiiLakini masharti yakikazwa pia wabongo utawasikia "mikopo hatupewi, masharti magumu"
Yakilegezwa ndio hivyo sasa. Namaanisha itabidi kila mmoja abebe jukumu lake. Responsibility. Ni wajibu wao kujua watalipaje na riba zina mahesabu gani. Ujinga kutojua ndio kosa lao hapa, na tokeo lake mateso yamejidhihiri.
Tukirudi kwenye wakopeshaji ukavaa viatu vyao. Ivi unajua kati ya 6M za mwanzo walilamba rejesho la laki tano tu😳. Na miaka inasonga tu. Huwaonei huruma biashara yao itaendaje?
Saudi ni nchi kama ilivio tzTtzo upo mbali na Uislamu sahihi
Mnashadidia sana Uislamu wa mitandao ambao sio sahihi
Najua hizi mambo za Kariakoo ngoja nifatilie vizuri ingawaje najua hata wahuni wanatumia hizo Njia kuzurumu mali za watu yupo yule Mama aliokolewa na Magufuri jamaa alizurumu Nyumba aliyoweka dhamana harafu baadae akaiuza akafungua kampuni kubwa ya mabus baadae akaambiwa ateme nyama hakuna hizo bus tena bara barani zilikua maarufu sana rangi ya Blue na mahakama hizi za rushwa ndio zilipitisha...hakuna kitu hapo kifupi wajipange upya tu ,hii ishu kwa nilivyosoma maelezo nimeelewa ishu hii imepita mahakamani na mahama lazima iliita pande zote mbili wakazisikiliza na mahakama wakatoa muda wahusika walipe na wahusika hawakufanya hivyo pili ilikaziwa hikumu hapo ndipo mahakama ikajirizisha kwa kutoa Amri ya kuuza dhamana zilizowekwa kufidia deni na gharama zote za ufunguaji wa kesi na kesi yenyewe vinalipwa na mkopaji .hivyo usitegemee jipya ilibidi mkopaji afungue kesi kabla nyumba haijauzwa labda kidogo pangekua na uchelewaji wa amri ya mahakama .kifupi dawa ya deni ni kulipa hakuna ujanja mwingine na kabla ya kukopa soma vizuri mkataba
Mwandishi anasema kwamba ili mkopaji akubalike ni lazima awe muumini mwaminifu wa kanisa hilo.Hajakopa kanisani jamani tuwe tunatoa mawazo yetu baada ya kuelewa story
Uhakika wa kukupata/ kufahamiwa.Kwanini sharti liwe la uumini wa kanisa hilo?
Riba ubaya wake ni sawa na mtu anae Mlala mamake mzazi kwa mujibu wa uisilamu yaani ni dhambi iliopitilizaSijaelewaa [emoji2955]
Serekali inabidi itumie nguvu kubwa kulinda wananchi wake dhidi ya Wajanja wachache wanaotumia ujinga wa baadhi ya Watanzania kuwaibia kupitia Mikataba kanjanja!!Unamkopesha mtu 6mil sabb tu ni mtoaji mzuri wa fungu la kumi na ni muumini wa kanisa aiseee nchi ina vituko hii
Hao naona walikuwa wanatolea macho hio nyumba na kama ndio utaratibu huu basi mikopo chechefu itakuwa mingi
Sio kweli niyi siku hizi kila kitu uchawi ndio maana mnaishia kubaya kimbia mikopo yote yenye riba,pia usikope bila kujua utarejeshajeKabisaa, Tena taasisi nyingi tu Zina huo ushenzi