Tetesi: Dar es Salaam SGR Terminus kupewa jina la Rais Samia

Jadili mada, usimjadili mleta mada. Kila siku tunawaambieni.
 
Mimi naosawat tu tenaatahela yanoti yaelfukumi ingewekwa pichayake kwaninimwanamke wakwanza kuwa rais africamashariki
Haha haya mkuu, ngoja wahusika wakipita humu huenda wakalifanyia kazi wazo lako.
 
Paitwe Station kama ilivyo sasa. Tuachane na huu ujinga wa kuvipa vitu vya Taifa majina ya viongozi.

Mie naona bora iitwe Mandonga.
Hapo sasa umekosea. Kama tunaita tu station iwe hivyo. Ila nakuunga mkono tusiite kila kitu majina ya wanasiasa. Mwisho tuna shule zinaitwa makamba baba na makamba mzee anataka kitu kiitwe nnauye baba yake nape. Vurugu tupu tu.
 
Hapo sasa umekosea. Kama tunaita tu station iwe hivyo. Ila nakuunga mkono tusiite kila kitu majina ya wanasiasa. Mwisho tuna shule zinaitwa makamba baba na makamba mzee anataka kitu kiitwe nnauye baba yake nape. Vurugu tupu tu.
Ndomaana nikasema kama vipi basi iitwe Tanzanite Terminus station kutokana na muonekano wake ambao ni wa muundo wa madini hayo ya Tanzanite.

Afu daraja la Tanzanite bridge libadilishiwe jina.
 
Tetesi
 
Tetesi zako hazikuwa kweli. Jana majina yametangazwa.
 
Ilikuwa hii ya Dar ipewe jina la Samia, halafu ya Dodoma ipewe jina la Magufuli.

Ila naona raisi mwenyewe kaamua kubadili gia angani.
Ulikuwepo katika vikao vya kupanga majina ya hizo stesheni au ndiyo ujinga wa ujuwaji wa Kitanzania?
 
Napinga hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…