Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya Kigamboni na Kurasini jijini Dar es salaam.Nyerere bridge lipo mahali gani?
Jadili mada, usimjadili mleta mada. Kila siku tunawaambieni.Mtoa mada wakati unaanza kupresent mada yako ulikuwa as if hujui chochote na kwamba umepenyezwa tu na mtu wa system lakini kadiri ulivyosonga mbele umejidhihirisha kumbe we mwenyewe ni mtu wa system hiyo hiyo na umepresent kama supporter wa hilo jambo
Ninachojiuliza sijui ni kwanini uliamua kutumia style hiyo sijui at first ulikuwa unahofia upinzani?
Anyway nchi yetu ni kawaida kukumbatia yakijinga na kusahau ya maana. Hili nalo ni mojawapo.
Haha haya mkuu, ngoja wahusika wakipita humu huenda wakalifanyia kazi wazo lako.Mimi naosawat tu tenaatahela yanoti yaelfukumi ingewekwa pichayake kwaninimwanamke wakwanza kuwa rais africamashariki
Maandamano ya mitandaoni ni ruhusa mkuu 😀😀Wewewewewewee,,,,, kudaaaaadeki, tutaandamana, hiyo stendi ya Magufuli!!!!!
Hapo sasa umekosea. Kama tunaita tu station iwe hivyo. Ila nakuunga mkono tusiite kila kitu majina ya wanasiasa. Mwisho tuna shule zinaitwa makamba baba na makamba mzee anataka kitu kiitwe nnauye baba yake nape. Vurugu tupu tu.Paitwe Station kama ilivyo sasa. Tuachane na huu ujinga wa kuvipa vitu vya Taifa majina ya viongozi.
Mie naona bora iitwe Mandonga.
Ndomaana nikasema kama vipi basi iitwe Tanzanite Terminus station kutokana na muonekano wake ambao ni wa muundo wa madini hayo ya Tanzanite.Hapo sasa umekosea. Kama tunaita tu station iwe hivyo. Ila nakuunga mkono tusiite kila kitu majina ya wanasiasa. Mwisho tuna shule zinaitwa makamba baba na makamba mzee anataka kitu kiitwe nnauye baba yake nape. Vurugu tupu tu.
TetesiHabari zenu wana JF wenzangu,
Hizi ni tetesi kutoka kwa mtu wa ndani ya kitengo fulani, ambapo amesema mpango huo wa kuipa Terminus hiyo jina la raisi Samia utafanyika siku ya ufunguzi wa safari za train hizo zinazotumia umeme.
Mdau huyo amesema kwamba lengo kuu la kuipa Terminus hiyo kubwa, nzuri na yenye kuvutia kuliko Terminus yoyote barabarani Africa ukiondoa tu ile ya Johannesburg nchini Afrika kusini, inatokana na mchango mkubwa wa raisi huyo katika kumalizia mradi huu mkubwa na wenye manufaa kwa Taifa, uliyoachwa na mtangulizi wake ambae ni baba wa pili wa taifa hili (baada ya Nyerere) na mzalendo namba mbili (baada ya Nyerere) hayati John Pombe Magufuli.
Inasemekana Terminus hiyo itaanza kuitwa rasmi kwa jina la "Samia SGR Terminus" siku hiyo ya ufunguzi wa Terminus hiyo, na bila shaka litapokekelewa kwa mikono miwili na viongozi wote wa mkoa wa Dar es Salaam pamoja na wizara inayohusika na maswala hayo ya kitaifa.
Sisi wana Dar es Salaam na watanzania kwa ujumla tunasubiri kulipokea suala hili kwa mikono miwili. Tunajua haters huwa hawakosekani, lkn hilo halina shida kwani kelele za mpangaji hazimzuii mwenye nyumba kulala usingizi mtamu.
Samia SGR Terminus imekamilika, tujiandae kwa ufunguzi wa safari mbalimbali.
View attachment 2593948
Tetesi zako hazikuwa kweli. Jana majina yametangazwa.Habari zenu wana JF wenzangu,

Ilikuwa hii ya Dar ipewe jina la Samia, halafu ya Dodoma ipewe jina la Magufuli.Imeitwa Magufuli
Ulikuwepo katika vikao vya kupanga majina ya hizo stesheni au ndiyo ujinga wa ujuwaji wa Kitanzania?Ilikuwa hii ya Dar ipewe jina la Samia, halafu ya Dodoma ipewe jina la Magufuli.
Ila naona raisi mwenyewe kaamua kubadili gia angani.
Napinga hiliHabari zenu wana JF wenzangu,