Dar es Salaam: Vijana wawili wafariki mikononi mwa polisi

Usiombe uingie mikononi mwa hawa vijana, halafu wa sasa hivi ni vijana vidogo sana 20-35 hivi ila matukio wanayofanya ukiambiwa utawashukuru Police.

Ndio sio halali na sawa kwa walichokifanya ila kama ni wahalifu, na type ile ile ya Panya road, acha Police wafanye kazi yao.
 
Hao vijana waliouwawa mtaani kwao raia wamefurahi sana kwa mambo walliyokuwa wanafanya, wamelipongeza jeshi la polisi kwa kuwaua, walistahili kifo
 
Sahihi
 
Ndio maana tunahitaji Private Investigators(PI) kusaidiana na polisi.
 
Tupe CV ya hao vijana Kwanza hapo mtaani, kuna wakati Polisi wanafanya maamuzi Sahihi Kwa Amani na usalama wa wanazengo.

Usikute hao walishashindikana hapo mtaani kwao RAIA wanacelebrety vifo vyao.
sahihi kbs daktari
 
Nimefuatilia nimepata hii, sijui ina ukweli gani?
Uchunguzi wa kina zaidi unahitajika ili kupata taarifa za upande wa pili.
Kama hawa ndio walishambuliwa na hao vibaka basi walichopata ndio stahiki kwao, hauwezi kuua na kuwapa watu ulemavu halafu siku ukikamatwa uchekewe kwa hili niko pamoja na polisi.
 
wengi humu hayo maeneo ya vingunguti hamyajui vizuri huo n ukanda wa gaza ..kuanzia buguruni sheli huku kushuka spenco kule mpaka vingunguti unakabwa sa nne asubuhi
Sasahivi tunawapiga chuma. adi waishe wote
 
HUJABAHATIKA KUZUNGUKWA NA HAWA VIJANA, ROHO UNAISHIKA MKONONI
 
Arusha ndo balaa, vijana wanapewa vilema na kuuawa sana.

Kuna siku kidogo nidakwe aisee nilikimbia kidogo nigongwe na gari[emoji1787]

Eti nimekosea kuvuka barabara kidogo anigonge na defender yake akataka anipakize, kidogo nijikojolee
[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe wewe ni muoga hivyo,si ungepambana nao tu
 
Tupe CV ya hao vijana Kwanza hapo mtaani, kuna wakati Polisi wanafanya maamuzi Sahihi Kwa Amani na usalama wa wanazengo.

Usikute hao walishashindikana hapo mtaani kwao RAIA wanacelebrety vifo vyao.
Na ww umepewa PhD
 
Hiyo familia nayo ijiongeze dawa ya ubaya ni ubaya tu.
Sio kila kitu mtafundishwa shuleni.
 
Bora ukutane na vibaka wenye mapanga, kuliko polisi mwenye bunduki,
Kule mtwara, kuna kesi tena ya vigogo wakubwa tu, wameua kijana kwa sindano ya sumu, kisa tu milioni 30!
Ofisa, TRA, anazuia mzigo ili umpe rushwa, bila hivyo atakutsndika Kodi kubwa, Nesi hospitari usipompa kitu kidogo, hatoi huduma kwa mama mjamzito!
Sasa hv kila kitu ni shagharabagala!
Unyama wa polisi haujaanza Leo, kamanda zombe na kikosi chake,waliua wafanyabiashara wa madini mchana kweupeee! Wakasema, ni, majambszi, tunashukuru walioshiriki wamepata murder wanasubili kunyongwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…